Rick Ross Featuring Jay-Z & John Legend-FREEMASON

Huyu jamaa ameongea makubwa sana kuliko Hata Rick jayz kaongea vingi vikubwa sana..

"Niggas couldn't do nothing with me, they put the devil on me"

Hapa anasema watu ambao Wanashindwa kumpata kwa maendeleo yake ndo wanamzushia kuwa anaabudu shetani..

"I'd have preffered niggas to squeeze the metal on me"

anasema Kuliko kumzushia ni bora wakamuua kabisa ndo anaposema squeeze metal.(Kumchoma kisu)..

"Rumors of Lucifer, i don't know who to trust"

Kuna kipindi niliwahi kuandika comment kuhusu Lucifer kuwa na pande mbili..Lucifer upande wa Yesu na lucifer watu wanaomuita Shetani..

So anamaliziaa anasema..

"Hear me clearly if y'all niggas fear me
Just say y'all fear me
Fu** all these fairy tales
Go to hell, this is God engineering
This is Hail Mary pass, y'all interfering"

hapa ni kawaida tu anawaonya wale wanamuogopa kwa kusema devil worshiper na anawaambia kama wanamwogo waseme wanamuogopa sio kutunga Hadithi..
anasema "this is Hail mary pass" kama kuna wale wacheza basketball watajua maana ya Hail mary pass..

So ni Pass inayowezesha kuvunga goli kwenye Dakika za mwisho kabisa..
Kwahyi yeye kaotea chaka wanataka kumuinta fia....


Baada ya Dk 15 nitaendelea
 
Nakubali Dokta
 
Nakubali mzee unajua
 
Watu weusi wengi wanaangushwa kimziki kwa sababu ya mafremason na kupewa kesi mbalimbali za kuwalawiti watoto wadogo kama R kelly walivyompakazia kesi kwahiyo watu weusi tunabaguliwa sana huu mziki will slow down Freemason
Sio kubaguliwa makosa ni yao kukiuka mkataba walioingia na shetani
 
Wote ni members wanatambulika kwa alama na ishara kama sio wanachama alama za freewmasonj kwenye miziki Yao ya Nini.
Umbrella wa Rihana pale anaimbiwa shetani shetani ndie anaeitwa umbrella.
 
Ila hii nyimbo mbona ipo wazi sana ni sawa na nyimbo zingine za kumkataa shetani tu. Ni kama wamewakandia wana wanaodhani mtu ukitoboa.life ni pesa ya sangoma na vitu kama hivyo
Kama sio members mbona wanaweka alama za shetani kwenye video zao
 
Wakianza kuimba nyimbo hizi jua wameshakabwa koo kama kanumba
 
Tunaendelea sasa..

"He without sin shall cast the first stone"
Kwa wale wakristo hii sio sentensi mpya kwao sana sana kipindi kile yesu alipowaambia watu wale waiomleta kahaba kuwa yoyote anayejiona hana makosa au hatia aanze kumpiga mawe..

Sasa Hov anasema Yoyote anayejiona hana dhambi yoyote aanze kumrushia mawe..

So y'all look in the mirror, double check your appearance"

kwahyo wote wanapoangalia makosa yake waangalie na yao pia ndo idioms alotumia hapo

"So yall look in the mirror double check ya appearance"


"Bitch, i said i was amazing

Not that i'm a Mason
It's amazing that i made it thought the maze that i was in..

Lord forgive me, i never would've made it without sin"

hapa Jayz anasema alisema kuwa Yuko amazing na sio Yuko mason..

Sasa hapa kuna kitu kimoja Katumia kama kucheza na maneno mazed au maze maana yake ni confusion au confused au pia ni path and hedges za puzzle fulani ambayo tafsiri ya haraka haraka its a confused society au Secret society..

Ndo maana amasema its amaizing i made it through tha maze (ways or path of puzzle i was in)..
Nafikri hapo tumeelewana..
Na ndo maana anakamilisha kwa kusema Lord forgive me I never wouldve made it without sin..

Means bila kuwepo kwemye hiyo mason Asingeweza kufanikiwa..
 
"Holy water my face in the basin
Diamonds in my Rosary shows He forgave him
Bitch, i'm red hot i'm on my third six, but a devil i'm not.
My Jesus piece flooded, but thou shall not covet.

Keep your eyes off my cupboard, i'm a bad motherfucker"

Alivyovitaja hapo juu nitavielezea..

Kwanza kabisa anasema "i am on my Third six"
Sasa third six ni Ngapi na ni nini..
Third six 3x6=18
So he has 18° degree

So what a 18 degree get..


hIi inaitwa Red hot kwa lugha ya kicode zaid kwa sababu ina Rangi nyekundu na njano inayoashiria kama moto unawaka so wanaita Red hot..


Kabla sijaelezea maandishi ya msalaba kwenye hiyo Red hot Ambayo ni Degree ya 18 ya freemason ambayo pia inaitwa third six ..

Sasa third six Au 18 degree ya freemason..
Kwa lugha Rasmi huitwa Rose Croix Regalia
KatiKa degree hii ndo huanza kujifunza kuhusu Sexual alchemy na maswala yote ya Semen Retention..

Na Mara nyingi Semen wanaita "Holy water"

Na Kamwe hawaruhusu kumwaga kabisa na ndo maana anasema kitu "HOLY WATER MY FACE ON BASIN"

kwamba ana holy water na anaiangalia sana isije ikatoka najua wote tunajua Basin kazi yake ni kumwaga maji kwenye mito na Maziwa sasa anatakiwa kuchanell sexual energy hiyo into mwili na kuamsha nguvu ndani ya mwili sasa kwa level ya 18° ndo mambo hayo huanza..

Katika kitu kimoja Third six anapewa ni
Rose Croix 18th Degree Collar Jewel ambayo mara nyingi wanaita Diamond Rosary au Rose Diamond


Na mwisho anataja kuhusu Jesus pieces na kuwa flooded..
Jesus Pieces ni hii hapa chini..


Hizo ndo jesus Pieces

Mwaka 2001, Jayz aliwahi kuulizwa kwanini anavaa Sana Hizo cheni na anavaa kipindi tu akiwa studio au kwenye show akajibu hiyo ni moja ya Ritual (Tambiko) zake..
 
hivi wa wehu huwa wanajiamini nini juu ya MUNGU, yani ujasiri wanautoa wapi wakati wanajua hawawezi na wanajua yeye aliye asili ya kila kitu yupo na hawawezi shindana nae. KIBURI KINATOKA WAPI
 
hivi wa wehu huwa wanajiamini nini juu ya MUNGU, yani ujasiri wanautoa wapi wakati wanajua hawawezi na wanajua yeye aliye asili ya kila kitu yupo na hawawezi shindana nae. KIBURI KINATOKA WAPI
Kiburi kinakuja baada ya kuona hata wanaomwamini pia kwa 75% wamepotea yaani wamepotezwa na mafundisho na mafundisho wanayopewa.sio halisi..

Just imagine umesikia kuwa kuna watu wamepewa majibu ya Mtihani, wakati huo wewe umefanya mtihani na umeona mtuhani umekazwa na mgumu halfu nusu ya Darasa ukagundua walikuwa na majibu ya Mtihani moyo ukakuuma sana ukajua Utafail mtihani ila unaenda kwa mtu aliyewapa majibu anakuambia amewapa.majibu ya uongo.yote..
Hebu niambie furaha utakayopata kufail na watu zaidi ua 80% ya darasa?
Nafikiri umeelezwa
 
Mkuu fafanua hapa, nimeshindwa kulinganisha jibu lako na swali uliloulizwa!
 
Mkuu fafanua hapa, nimeshindwa kulinganisha jibu lako na swali uliloulizwa!
Baadhi ya Ritual.zilizopo kwenye dini Nyingu sasa hivi zimeingizwa na watu wasiotakiwa Mema Imani..
Dini iliyopo sasa.hivi na dini walioiacha waasisi hailingani hata kidogo..
Wamejitahidi kuibadilisha kwa 100%
Na hata maana ya vitabu vitakatifu wamezibadili ili watu wasielewe Misingi ya Imani ya awali ilivyokuwa..

Akiibuka leo Huyo petro au akija leo hao kina stefano au kina paulo cha kwanza lazma wazimia kuona dini ilivyo..

Jibu ni kwa ufupi ni..
Mila za kishetani na dini zimekuwa infused hivyo kufanya Dini kuwa sawa na Sehemu walizopo wao na ndo maaana hawaoni Tofauti iliyopo.kati ya Dini yao na Dini zilizopo kwani hata Viongozi wa kidini wako nao kwenye inada wanazofanya mafichoni..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…