pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Yaani hata wewe unaeza tumia maneno makali hivi? Imeuma sana. Sawa tu! [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Mnakumbuka obama alipokuja Tz first when you expected angekuja kenya sababu mmelazimisha undugu, mkanuna mwezi mzima? [emoji3][emoji3][emoji3] that was lovely.
The point is, rick ross angeanza kenya mlivyo na midomo na mashauzi tusingepumua. [emoji4]
Indeed you're clueless.
Yaani hata wewe unaeza tumia maneno makali hivi? Imeuma sana. Sawa tu! [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
miafrika bana!!! sasa obama kuja tz kwanza ilikusaidia nini wwe mtz? obama kuja kenya ilimsaidia kivipi mkenya??ππππ yaani tuwache akili hizi za kitumwa...mbona wazungu hawawezi kuanza kupambana mitandaoni eti kisa uhuru au magu amefika kwao?Yapi?? Si kweli obama alikuja Tz first, wakenya na ukabila wao walidhani his first stop in Africa ingekuwa kenya, jamaa akawabwaga, wakeii wakamsusa kwa muda lmao!!! [emoji3][emoji3][emoji3] majirani mlinifurahisha[emoji3][emoji3][emoji3][emoji2][emoji2]
Si mnakuaga SADC ..unajua maana SADC??Wakenya mmesahau kuwa TZ ipo East Africa
Soma vizuri alichoandika mwenzio;amesema ni mara ya kwanza kuja EA.Unatoa mapovu wakati haujasoma alichoandika mleta threadni wapi uzi umesema rick ross yupo tanzaniaπππ....yaani nimetafuta nikakosa...mi nadhani uzi unaongelea rick ross kuwa nairobi...sasa tz ishakua ndani ya Nairobi au sielewi? hamna aliyewauliza kama alikuja tz..kama alkuja au hakuja hio inatuhusu nini bana?...yaani mnatokwa na mapovu kwa mambo ya kipumbavu sanaππππ...mmeshaanza kupimana mikojo kisa rick ross..sawa alkuja tz akiwa amenona miaka iliopita so what?. inamhusu nini mkenya anayetamani kumwona leo?...duh!!! wabongo ni watu wa ajabu sana...habari ni simple sana...rick ross yupo nairobi...nashindwa mambo ya obama yametoka wapi? mwingine namskia akimhusisha rick ross kwenda tz na unene wake...tena akamhusisha rick ross kukonda kwake na kenya...hahahaha..yaani kila kitu tz vs kenyaππππ
swali langu ni ni wapi mleta mada alitaja tz? ukinionesha sawa....ross yupo nairobi sasa sijui inatuhusu nini kama alikuja huko kwenu mara obama kuja tz hahaaa hamna akili nyinyiSoma vizuri alichoandika mwenzio;amesema ni mara ya kwanza kuja EA.Unatoa mapovu wakati haujasoma alichoandika mleta thread
Kwani Tanzania haipo East Africa?Soma sentensi yake ya mwishoswali langu ni ni wapi mleta mada alitaja tz? ukinionesha sawa....ross yupo nairobi sasa sijui inatuhusu nini kama alikuja huko kwenu mara obama kuja tz hahaaa hamna akili nyinyi
anybody tell me, who is this orphan??? gtfoh!!miafrika bana!!! sasa obama kuja tz kwanza ilikusaidia nini wwe mtz? obama kuja kenya ilimsaidia kivipi mkenya??ππππ yaani tuwache akili hizi za kitumwa...mbona wazungu hawawezi kuanza kupambana mitandaoni eti kisa uhuru au magu amefika kwao?
atakuwa kajawa mate mdomoni kama mama mwenye mimba huyo anataka kuyatemea JF. maelezo mareeeefu yote pumba.Soma vizuri alichoandika mwenzio;amesema ni mara ya kwanza kuja EA.Unatoa mapovu wakati haujasoma alichoandika mleta thread
Haya siku akiimba wimbo na msanii wa kenya useme pia ni msanii wa kwanza EA kuimba na rick rossOoookay nyamazeni Watu tulieni. Sawa Rick Ross alikuja Tanzania kwanza. Sikuwa nalifahamu hilo. Sawa nadhani sasa mtatulia na kuwacha kushusha mipovu humu.
Tanzania. Shida yenu hamjui kujimarket. Mmefanya vitu vikubwa lakini mnanyamaza sana mnadhani kila mtu atajua. Sisi Kenya tukifanya kitu kizuri, dunia lazima itajua.Haya siku akiimba wimbo na msanii wa kenya useme pia ni msanii wa kwanza EA kuimba na rick ross
Pia wewe unaeza zungumza hivi!anybody tell me, who is this orphan??? gtfoh!!
True I concur...This rivalry is ridiculous....Obama did go to Kenya in the eighties, also when he was Senator and also as President...He did go to Kenya first before he went any other African country...miafrika bana!!! sasa obama kuja tz kwanza ilikusaidia nini wwe mtz? obama kuja kenya ilimsaidia kivipi mkenya??ππππ yaani tuwache akili hizi za kitumwa...mbona wazungu hawawezi kuanza kupambana mitandaoni eti kisa uhuru au magu amefika kwao?