Rick Ross in Nairobi

Rick Ross in Nairobi

Mnakumbuka obama alipokuja Tz first when you expected angekuja kenya sababu mmelazimisha undugu, mkanuna mwezi mzima? [emoji3][emoji3][emoji3] that was lovely.
The point is, rick ross angeanza kenya mlivyo na midomo na mashauzi tusingepumua. [emoji4]
Yaani hata wewe unaeza tumia maneno makali hivi? Imeuma sana. Sawa tu! [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Yapi?? Si kweli obama alikuja Tz first, wakenya na ukabila wao walidhani his first stop in Africa ingekuwa kenya, jamaa akawabwaga, wakeii wakamsusa kwa muda lmao!!! [emoji3][emoji3][emoji3] majirani mlinifurahisha[emoji3][emoji3][emoji3][emoji2][emoji2]
 
ni wapi uzi umesema rick ross yupo tanzania🙁🙁🙁....yaani nimetafuta nikakosa...mi nadhani uzi unaongelea rick ross kuwa nairobi...sasa tz ishakua ndani ya Nairobi au sielewi? hamna aliyewauliza kama alikuja tz..kama alkuja au hakuja hio inatuhusu nini bana?...yaani mnatokwa na mapovu kwa mambo ya kipumbavu sana😀😀😀😀...mmeshaanza kupimana mikojo kisa rick ross..sawa alkuja tz akiwa amenona miaka iliopita so what?. inamhusu nini mkenya anayetamani kumwona leo?...duh!!! wabongo ni watu wa ajabu sana...habari ni simple sana...rick ross yupo nairobi...nashindwa mambo ya obama yametoka wapi? mwingine namskia akimhusisha rick ross kwenda tz na unene wake...tena akamhusisha rick ross kukonda kwake na kenya...hahahaha..yaani kila kitu tz vs kenya😀😀😀😀
 
miafrika bana!!! sasa obama kuja tz kwanza ilikusaidia nini wwe mtz? obama kuja kenya ilimsaidia kivipi mkenya??😀😀😀😀 yaani tuwache akili hizi za kitumwa...mbona wazungu hawawezi kuanza kupambana mitandaoni eti kisa uhuru au magu amefika kwao?
 
kinyesi changu ni kikubwa zaidi kuliko chako😀😀😀😀...hivi ndio mna behave nyie wakaazi wa LDC...kesho mtaanza kupimana mikojo wakati nyote mpo maskini wa kutupwa😀😀😀rick ross ana pesa zake nyie mnahangaika mitandaoni kwa ajili yake
 
ni wapi uzi umesema rick ross yupo tanzania🙁🙁🙁....yaani nimetafuta nikakosa...mi nadhani uzi unaongelea rick ross kuwa nairobi...sasa tz ishakua ndani ya Nairobi au sielewi? hamna aliyewauliza kama alikuja tz..kama alkuja au hakuja hio inatuhusu nini bana?...yaani mnatokwa na mapovu kwa mambo ya kipumbavu sana😀😀😀😀...mmeshaanza kupimana mikojo kisa rick ross..sawa alkuja tz akiwa amenona miaka iliopita so what?. inamhusu nini mkenya anayetamani kumwona leo?...duh!!! wabongo ni watu wa ajabu sana...habari ni simple sana...rick ross yupo nairobi...nashindwa mambo ya obama yametoka wapi? mwingine namskia akimhusisha rick ross kwenda tz na unene wake...tena akamhusisha rick ross kukonda kwake na kenya...hahahaha..yaani kila kitu tz vs kenya😀😀😀😀
Soma vizuri alichoandika mwenzio;amesema ni mara ya kwanza kuja EA.Unatoa mapovu wakati haujasoma alichoandika mleta thread
 
swali langu ni ni wapi mleta mada alitaja tz? ukinionesha sawa....ross yupo nairobi sasa sijui inatuhusu nini kama alikuja huko kwenu mara obama kuja tz hahaaa hamna akili nyinyi
 
Kwani Tanzania haipo East Africa?Soma sentensi yake ya mwisho
 
Ooookay nyamazeni Watu tulieni. Sawa Rick Ross alikuja Tanzania kwanza. Sikuwa nalifahamu hilo. Sawa nadhani sasa mtatulia na kuwacha kushusha mipovu humu.
 
miafrika bana!!! sasa obama kuja tz kwanza ilikusaidia nini wwe mtz? obama kuja kenya ilimsaidia kivipi mkenya??😀😀😀😀 yaani tuwache akili hizi za kitumwa...mbona wazungu hawawezi kuanza kupambana mitandaoni eti kisa uhuru au magu amefika kwao?
anybody tell me, who is this orphan??? gtfoh!!
 
Soma vizuri alichoandika mwenzio;amesema ni mara ya kwanza kuja EA.Unatoa mapovu wakati haujasoma alichoandika mleta thread
atakuwa kajawa mate mdomoni kama mama mwenye mimba huyo anataka kuyatemea JF. maelezo mareeeefu yote pumba.
 
anybody tell me, who is this orphan??? gtfoh!!
Haha mbona hasira! Hasira na sura yako nzuri hazipatani. Mtoto mzuri kama wewe unastahili mwanamume wa kukutuliza na kukupeleka kwenye show kama hii ya Rick Ross.
 
Ooookay nyamazeni Watu tulieni. Sawa Rick Ross alikuja Tanzania kwanza. Sikuwa nalifahamu hilo. Sawa nadhani sasa mtatulia na kuwacha kushusha mipovu humu.
Haya siku akiimba wimbo na msanii wa kenya useme pia ni msanii wa kwanza EA kuimba na rick ross
 
Tanzania. Shida yenu hamjui kujimarket. Mmefanya vitu vikubwa lakini mnanyamaza sana mnadhani kila mtu atajua. Sisi Kenya tukifanya kitu kizuri, dunia lazima itajua.
 
Zote hizi ni Jitihada za Serikali ya Uhuru Kenyatta na Makamu wake.

Hongera sana Kenyatta.
 
miafrika bana!!! sasa obama kuja tz kwanza ilikusaidia nini wwe mtz? obama kuja kenya ilimsaidia kivipi mkenya??😀😀😀😀 yaani tuwache akili hizi za kitumwa...mbona wazungu hawawezi kuanza kupambana mitandaoni eti kisa uhuru au magu amefika kwao?
True I concur...This rivalry is ridiculous....Obama did go to Kenya in the eighties, also when he was Senator and also as President...He did go to Kenya first before he went any other African country...
 
Back
Top Bottom