juan moses
JF-Expert Member
- Feb 16, 2014
- 2,403
- 2,478
Maskini anayeishi Los Angeles ambapo kodi kwa wiki $3000 au wa Madale kodi buku thelathini kwa mwezi?Mange unamsumbua wivu wa kimasikini tu.....tangu lini masikini akamshauri tajiri jinsi yakufanikiwa ?
Mange sasa atakufa kwa kihoro.hili ni pigo lingine kwa Mange
Tutarajie ndoaAlipostiwa Huddah Kabla Ya Diamond Tutarajie?!!
Sina Timu Ila CR7 Anakuambieni "Calma,Calma"
Aisee umemaliza kazi hata mimi niliyekuwa nimeanza kutabasamu nimenuna ghaflaMbona ni kawaida sana mtu yoyote ukinunua hiyo wine unachofanya unapiga picha na hicho kinywaji na kufanya kutag kwenye page ya hicho kinywaji Rick anafanya kukupost
-Ndumilakuwili-
Mapovu.Nunua na we akupost tuone mkuu
Naona atakua amepewa ubalozi wa Bia Ya Bellaire cjuiLeo katika pita pita yangu huko instagram nimeona msanii maarufu Duniani Rick Ross amempost Diamond na Kuandika maneno fulani! inaonekana Diamond kuna Deal kala la kutangaza kinywaji fulani hivi hadi kufikia rickross kumpost!
Kupostiwa na Msanii maarufu kama RICKROSS ni bonge moja ya Deal la kibiashara kwa Diamond katika mziki wake! watu watajiuliza Huyu ni nani hadi Rick Ross ampost anatokea wapi na anafanya nini? Mashabiki wa Diamond hawajawa nyuma naona Rickross leo kapata Comments nyingi sanaa kuliko post yoyote alio wahi kuipost tangu aanze kutumia instagram!!
Je nini tutarajie hivi karibuni ni Collabo yao mpya itaachiwa au vipi? Diamond alisha wahi kusema kuwa ana collabo na Rickross watu walibeza je hii tutarajie nini?
Hongera Diamond kaza Buti!View attachment 585300
Bia laki tano chupa moja asee anaweza kutoa hiyo hela kwel????Nunua na we akupost tuone mkuu
Nadhani hata Diamond akipiga picha na Mugabe mtataka wafanye kolabo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha point takenRick ross amechoka sana sasa hivi hana jipya sio kama Zamani ni sawa na wewe Chid benz akupost
Sent using Jamii Forums mobile app