Rick Ross kumpost Diamond nini Tutarajie?

Rick Ross kumpost Diamond nini Tutarajie?

Alipostiwa Huddah Kabla Ya Diamond Tutarajie?!!
Sina Timu Ila CR7 Anakuambieni "Calma,Calma"
 
Ndio corrabo zake hizo Neyo .Rickross kesho ataenda kwa shakira


iPhone 7 /A1786)
 
Hivi kwanini watu wameng'ang'ana na Rick Ross badala ya kinywaji cha Belaire?. Mi ndhani deal ya Diamond na Belaire ni kubwa zaidi ya Rick. Kwa Africa wenye deal na Belaire walikuwa watatu, Khaligraph Jones na Muthoni, wote wakenya. Na Rosa Ree wa Tz. Now kaongezeka Diamond. Rosay alianza kuisukuma Belaire tangu 2014. Na ameipa mafanikio sana, na mpaka alikera baadhi ya watu kwa jinsi alivyokuwa hachagui muda wa kuipaisha Belaire. Japo kuna kajiupepo kati ya Chibu na Rosay (coz sidhani kama Rosay alimpost Rosa Ree), lakini hako kajiupepo kasifunike hiyo deal ya Chibu na Belaire. Chibu kafungua ukurasa mpya na kawa wa kimataifa zaidi. Hongera.
 
Mbona ni kawaida sana mtu yoyote ukinunua hiyo wine unachofanya unapiga picha na hicho kinywaji na kufanya kutag kwenye page ya hicho kinywaji Rick anafanya kukupost
753f6de407eb4c24c5a72308b56a0483.jpg


-Ndumilakuwili-
Aisee umemaliza kazi hata mimi niliyekuwa nimeanza kutabasamu nimenuna ghafla
 
Diamond usituangushe this time,

aisee ukiusikiliza ule wimbo wa Marry you,kuna sehemu kama sauti iligoma,ikawa inatokea kooni,

ule wimbo ulikua mzuri,ila hio sehemu iliharibu,

natumai sasa hivi mta edit,mtoe kitu kizuri
 
Leo katika pita pita yangu huko instagram nimeona msanii maarufu Duniani Rick Ross amempost Diamond na Kuandika maneno fulani! inaonekana Diamond kuna Deal kala la kutangaza kinywaji fulani hivi hadi kufikia rickross kumpost!

Kupostiwa na Msanii maarufu kama RICKROSS ni bonge moja ya Deal la kibiashara kwa Diamond katika mziki wake! watu watajiuliza Huyu ni nani hadi Rick Ross ampost anatokea wapi na anafanya nini? Mashabiki wa Diamond hawajawa nyuma naona Rickross leo kapata Comments nyingi sanaa kuliko post yoyote alio wahi kuipost tangu aanze kutumia instagram!!

Je nini tutarajie hivi karibuni ni Collabo yao mpya itaachiwa au vipi? Diamond alisha wahi kusema kuwa ana collabo na Rickross watu walibeza je hii tutarajie nini?

Hongera Diamond kaza Buti!View attachment 585300
Naona atakua amepewa ubalozi wa Bia Ya Bellaire cjui
 
Mbona kamposti hata huddah?

Basi tutarajie kolabo ya riki na domo video qeen huddah???
 
Chibu amekua ambassador wa hicho kichwaji kimataifa zaidi so rozay kampaisha kama hivyo.

Xmass Boy.
 
Back
Top Bottom