Hii habr ya kutaka mzungu ataj nyimbo za kibongo ni sawa na kujiuliza,Wazungu hivi huwa hawazielewi nyimbo zetu? Maana sijasikia akina trump wakisifia nyimbo zetu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] usinivunje mbavu jana nimetoa ubavu mmoja kwa mk wanguAisee umemaliza kazi hata mimi niliyekuwa nimeanza kutabasamu nimenuna ghafla
haya nenda kashike na wewe afurahieMbona alimposti huddah moonroe kashika belaire hahahaaa hakuna dili hapo ila anafurahi kuona watu wakishika belaire.