Rick Ross kumpost Diamond nini Tutarajie?

Rick Ross kumpost Diamond nini Tutarajie?

Wazungu hivi huwa hawazielewi nyimbo zetu? Maana sijasikia akina trump wakisifia nyimbo zetu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii habr ya kutaka mzungu ataj nyimbo za kibongo ni sawa na kujiuliza,


Nywel za weusi siyo nzuri mbona wazungu wazitumii kama rasta?


Au ujiulize et ngoz yetu siyo nzuri mbona wazungu hawatumii mafuta kunana na sisi?


Mkuu hiyo sahau,maana mzungu wa form4 failed akija humu ataongea na wazir, a wqzir atampokea kama wazir mwenzake,
Lakin mweusi mwenye PhD akifika kule ataonekana kibaka,kafoji vyeti huyu,yaan mashaka lundo juu yako,
Lakin mzungu anaaminiwa hata kwa rangi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona alimposti huddah moonroe kashika belaire hahahaaa hakuna dili hapo ila anafurahi kuona watu wakishika belaire.
 
tutarajie Belaire kupata mauzo makubwa kwasababu ni tangazo la biashara ya hicho kinywaji.
 
upload_2017-9-11_16-1-23.png

.
 
mond nadani kawa balozi wa pombe moja ya marekani huko na kila anayekuwa balozi lazima rick ross ampost.. hata kama hamorapa angekuwa ndio balozi
 
Rick ross ni balozi wa kinywaji cha BELAIRE, yupo na P DIDY na pia hap kwetu Africa kuna wasanii kama ROSA REE kutoka the industry na DIAMOND PLUTNUMZ kutoka WCB, therefore amempost kama balozi mwenzie wa kinywaji hiko kutoka nchini FRANCE. Nimeeleweka
 

Attachments

  • Screenshot (27).png
    Screenshot (27).png
    126.3 KB · Views: 25
  • Screenshot (27).png
    Screenshot (27).png
    126.3 KB · Views: 25
Back
Top Bottom