Rick Ross kumpost Diamond nini Tutarajie?

Rick Ross kumpost Diamond nini Tutarajie?

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,170
Reaction score
7,665
Leo katika pita pita yangu huko instagram nimeona msanii maarufu Duniani Rick Ross amempost Diamond na Kuandika maneno fulani! inaonekana Diamond kuna Deal kala la kutangaza kinywaji fulani hivi hadi kufikia rickross kumpost!

Kupostiwa na Msanii maarufu kama RICKROSS ni bonge moja ya Deal la kibiashara kwa Diamond katika mziki wake! watu watajiuliza Huyu ni nani hadi Rick Ross ampost anatokea wapi na anafanya nini? Mashabiki wa Diamond hawajawa nyuma naona Rickross leo kapata Comments nyingi sanaa kuliko post yoyote alio wahi kuipost tangu aanze kutumia instagram!!

Je nini tutarajie hivi karibuni ni Collabo yao mpya itaachiwa au vipi? Diamond alisha wahi kusema kuwa ana collabo na Rickross watu walibeza je hii tutarajie nini?

Hongera Diamond kaza Buti!View attachment 585300
 
Kama vile hiyo bidhaa inakuja Tanzania
 

Attachments

  • Screenshot_20170909-225415.png
    Screenshot_20170909-225415.png
    172.9 KB · Views: 90
He he pyee timu domo mnajikuna na kunusa wenyewe..
 
Ngoja waje waleee..

...utaskia kutangaza pombe dhambi...!!?
 
Platnumz the money monger...

Always an opportunist....

Hivyo hvyo ... Piga helass...
 
Back
Top Bottom