RICK ROSS: Nilijua KILIMANJARO ni aina ya BANGI na sio MLIMA

Nyi pigeni kelele.. Mwenzeni kwa 1 hour show anacharge usd 120,000 bila kusahau ticket, 5 star hotel, insurance for him and his peoples around him,,, muda wa kufatilia milima ya watu atautoa wapi wakat anasaka money tu..

Wabongo ndo tunamuda wa kufatilia mambo ya watu as hatuna kazi za kufanya na ni wavivu kujishughulisha,, unakuta jitu halijawai hata kusafiri lakin linaijua marekan nje ndan.. Linapiga story mpaka za dakota.. Wenzenu wapo busy na mambo yao tu na kusaka pesa hawana muda wa kufatilia vitu visivyowahusu as kwa nature ya kazi yake kujua mlima kilimanjaro hakumsaidiii... Ye kaja zake bongo kufanya kazi, amesharamba around million 200, kwa kutua bongo tu... Jaman tukatafute pesa tuache kumuongelea huyo jamaaa sio levo yetu
 
Kwani lazima kuujua huo mlima? Kuna vitu kibao tu hata wwe huvijui. Au kuwa staa lazima uvijue vyote viliovyomo duniani
 
Mi Afrika bwana Mipumbavu sana! Jamaa katutukana lakini yanafurahia tu
 
Hao ni sawa tu na Ma bongo fleva wa huku. kelele nyingi kichwani sifuri.
Na kwa ushamba wa watu wa Dar, watafurika kwenye huo ujinga wake ambao kama bongo flava atacheza Cd tu.
 
Sababu ya yeye kusema hivyo ipo soma USA foreign policy utajua,kamwe Marekani hawawez kuitangaza nch yoyote kwa mazuri isipokua yenyewe tu.soma hizo policy angalia na movie zao hata siku moja huwez kuona marekani wamepigwa kwenye movie.TRY TO THINK OUTSIDE THE BOX AND YOU'LL FIND THE TRUTH
 
Kuna ukweli

 

kweli kabisa.
 
Na kama haitoshi Clouds wamemleta kwenye ujinga wao wa Fiesta na bado vichwa maji wamejazana tele!! Pyuuuuuuuuuu!!
 
Negativity ya hili jambo imetokana na huyu bwana kuufananisha Mlima Kilimanjaro na bangi.Ila mjue kwamba wavuta bangi wengi huwa wanavuruga akili yao na haya majani makavu.
Nimeshakutana na Rasta mmoja anayekesha na bangi na kujifanya anaijua Jamaica na Bob Marley kiundani akataka kunilaani kwa sababu nilimwambia Jamaica haipo barani Afrika.
Ila kwa upande mwingine inawezekana bwana Ross hakuwa na idea hata kidogo b'se hata wengi humu ukiwauliza 'Grand Canyon' ni nini watabaki wanatoa macho tu.
 
Taratibu dogo.








 
Kwahio Watz alikua anajua ni jamii fulani ya Wavuta bangi pia! Labda aliangalia hata decision zetu hasa zinazofanywa na Baba nanihiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…