MKATA KIU
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 3,410
- 8,184
Nyi pigeni kelele.. Mwenzeni kwa 1 hour show anacharge usd 120,000 bila kusahau ticket, 5 star hotel, insurance for him and his peoples around him,,, muda wa kufatilia milima ya watu atautoa wapi wakat anasaka money tu..
Wabongo ndo tunamuda wa kufatilia mambo ya watu as hatuna kazi za kufanya na ni wavivu kujishughulisha,, unakuta jitu halijawai hata kusafiri lakin linaijua marekan nje ndan.. Linapiga story mpaka za dakota.. Wenzenu wapo busy na mambo yao tu na kusaka pesa hawana muda wa kufatilia vitu visivyowahusu as kwa nature ya kazi yake kujua mlima kilimanjaro hakumsaidiii... Ye kaja zake bongo kufanya kazi, amesharamba around million 200, kwa kutua bongo tu... Jaman tukatafute pesa tuache kumuongelea huyo jamaaa sio levo yetu