RICK ROSS: Nilijua KILIMANJARO ni aina ya BANGI na sio MLIMA

RICK ROSS: Nilijua KILIMANJARO ni aina ya BANGI na sio MLIMA

hata mimi nilivyoona jina lake huyu jamaa kabla kufungua huu uzi nilijua kuwa atakuwa ni bonge la demu shombeshombe toto lenye mvuto wa kipekee,kumbe ni hili bazazi? shenz taipu lisiufananishe mlima wetu na bangi zao!
 
uzuri wa bhangi wakati mwingine vitu inavichukulia juu juu!bab kubwa ross!
 
hata mimi nilivyoona jina lake huyu jamaa kabla kufungua huu uzi nilijua kuwa atakuwa ni bonge la demu shombeshombe toto lenye mvuto wa kipekee,kumbe ni hili bazazi? shenz taipu lisiufananishe mlima wetu na bangi zao!

Duh, mkuu una njaa kali sana inaelekea..!
 
bodi ya utali wanatangazi nini? wanatumia ma billion eti wanautanga mlima kube ni bangi tupu!
 
Nilivyo iona thread nilianza kupata hasira..ujue mi huwa sipendi dharau..inakuaje huyu Bonge Nyanya adharau vitu vyetu..ila baada ya kusoma comment za baadhi ya washiriki hasira zikapungua kidogo na sasa hasira zinawageukia bodi ya Utalii, kwani wakienda Marekani kuutangaza huu Mlima huwa wanautangazaje??? Ina maana hawa jamaa wanamaliza kodi zetu kuutangaza mlima wetu kuwa ni kilevi tena kilevi haramu....au manegro wenzake walivyo kuja kupanda mlima walishuka wamelewa au nini hasa kilimfanya afikiri ML. Kilimanjaro ni Bange???
 
hapo ndio ujue polisi ni kazi ya ajabu, the guy was a cop


"I know Pablo, Noriega
The real Noriega, he owe me a hundred favors" back from the hell cell 23 jamaa alikua nyapala tu na sio askari
 
Hapo ametukosea heshima lakini cha kushangaza watu wanashangilia,
lakini Kanumba kukosea kiingereza alivyoenda SA ilikuwa kosa la mauaji na amepigwa madongo na Watanzania wenzake wala sio WaSouth Africa.
Lakini hawana tatizo na Rick Ross kudhani jina la mlima wao tena mkubwa Afrika
ni Bangi wanaona sawa tu kwa vile yeye ni Rick Ross.

Tatizo sisi tumesha amua kujidharau wenyewe.
 
Back
Top Bottom