WomanOfSubstance
JF-Expert Member
- May 30, 2008
- 5,457
- 963
Damn them!
- Elton John
- George Micheal
- now Rick Martin.
- wengine??
Ben Kinyaa wa TZ.
Kwani anaonekanaje? Nimuonavyo mimi - yuko kawaida
Hebu mtujuze ili ituwie rahisi kuhisi kama siyo kutambua lol.
ktk watu wanaochukia ushoga na usagaji nadhani ni mimi jamani!huwa sielewi kabisaaaaa mtu anapokubali kufanya haya mambo na usiku akalala vizuri na kausingizi kakaja,huwa sielewi jamani na sitakaa nielewe,ni ugonjwa wa akili!Ubwabwa ni kansa ktk jamii na inazidisha mabalaa ktk jamii.
ktk watu wanaochukia ushoga na usagaji nadhani ni mimi jamani!huwa sielewi kabisaaaaa mtu anapokubali kufanya haya mambo na usiku akalala vizuri na kausingizi kakaja,huwa sielewi jamani na sitakaa nielewe,ni ugonjwa wa akili!
nakubaliana na wewe mama......hata mimi huwa siwaelewi....ni matatizo ya akili tu....ktk watu wanaochukia ushoga na usagaji nadhani ni mimi jamani!huwa sielewi kabisaaaaa mtu anapokubali kufanya haya mambo na usiku akalala vizuri na kausingizi kakaja,huwa sielewi jamani na sitakaa nielewe,ni ugonjwa wa akili!
Eti wao wansema ndivyo walivyozaliwa. Inabidi wanasanysi watuambie kama kuna mbwa, mbuzi, sokwe ,kuku bata mashoga/ masagaji . Yet still kuna watu wanaona hii ni sawa.
Inawezekena hii ndo tafauti kubwa ya species ya myama binadamu na myama sokwe.
Binafsi sielewi
Wakaka wa Latin America wanajipenda sana kama ni mgeni nao unaweza kudhania wote ni Gays!
Oh really? wewe unamwona amenyooka? Hypothetically speaking...would you consider going out with a man like that?
mambo juu ya mamboUmenikumbusha siku nimetoka US kwenda London, nilipo fika kila mtu niliona kama ni gay.
Kama jamaa alivyo sema hapo juu, huyu haku hitaji kutangaza ,alikua anaoneysha tuu ukimcheki tuu ,kwanza muda wote alikua hana demu , dume gani anaye fanana na Ricky akose demu ? .
Siku alipo perform ile ngoma (Here we go Ale ale ale" kwa mara ya kwanza kwenye Grammy Awards kesho yake alipata simu toka kwa Madonna na tunaelewa Madonna akikupigia simu huwa anataka nini , ila jamaa mtarimbo doro hakuna kilicho endelea ,haku wahi kumssex Maddona , hiyo ili kua ni sighn kubwa kwamba jama ni mambo fulani, alijisingizia yuko kwnye relationship na demu mmoja wa kispanish amabye ni news encho ila hakuwahi kuonekana naye .
HYPOTHETICALLY....WHY not? He is a man...
Kunyooka ..kwani kapinda wapi? na kama kapinda si ni maumbile ya mtu jamani? NO body is perfect si ndio?