Umenikumbusha siku nimetoka US kwenda London, nilipo fika kila mtu niliona kama ni gay.
Kama jamaa alivyo sema hapo juu, huyu haku hitaji kutangaza ,alikua anaoneysha tuu ukimcheki tuu ,kwanza muda wote alikua hana demu , dume gani anaye fanana na Ricky akose demu ? .
Siku alipo perform ile ngoma (Here we go Ale ale ale" kwa mara ya kwanza kwenye Grammy Awards kesho yake alipata simu toka kwa Madonna na tunaelewa Madonna akikupigia simu huwa anataka nini , ila jamaa mtarimbo doro hakuna kilicho endelea ,haku wahi kumssex Maddona , hiyo ili kua ni sighn kubwa kwamba jama ni mambo fulani, alijisingizia yuko kwnye relationship na demu mmoja wa kispanish amabye ni news encho ila hakuwahi kuonekana naye .