Ridhiwan Kikwete afunguka sakata la dawa za kulevya

Si alikua list ya kwanza huyu au ilikua maneno tu ya watu
 
Kuna kipindi wakati nimeshika sana dini, nafsi ilikuwa inanisuta sana pindi nikihubiri na kukemea kuhusu uzinzi. Nilikuwa nachepuka hivyo nafsi ilikuwa inanisuta hadi nikaacha kuhubiri. Huyu ni mgumu na jasiri sana au Labda anao utakatifu wa kidunia
 
Noted
 
Aibu yao aibu yetu[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 

Nimesahau jamani hivi ni Mtoto gani vile wa Rais mmoja wapo wa Tanzania ( Mstaafu ) alitakiwa ' Kunyongwa ' kwa kukutwa akisafirisha Dawa za Kulevya nchini China? Mwenye kumbukumbu tafadhali anikumbushe kwani nimeshasahau.
 
kwenye wale 97 jina lake ni la 5 sasa nashangaa kelele nyingi,utaongea hayo ukiwa shimoni wewe na pinto na kinje na jamaa zako wa gsm,am sorry jk

La Pinto ni la 37 huku la Kinje ni la 9.
 
Labda na yeye ameokoka kama Masogange
 
sasa tunaanza kupata matamu , nyani wa nyuma anamcheka aliye mbele yake, anasahau nyuma yake kuna nyani wengine.
 
Alikuwa anamtegemea mfunga kamba wake Mzee Magu kambadilisha sasa ana tapa tapa Jiwe halitobakia juu ya Jiwe Jamaa hadi Kenya wanamtambua fika..
 
Watanzania kelele nyingiiii.approach approach
Mpaka jamaa.AME escape. Mngekaa kimya tumuone makonda kama ni mnafiki au la.
 
kwani target ya magu watu bado hawajaijua tu top three na wewe umo unayepiga simu airport
 
Weeh bwana weeeh! Msishangae kumwoona Riz na Paul kwenye billboard kama wapigaji vita wanacheka cheka na watoto waasirika na kule chini imeandikwa "Tanzania Bila Dawa Za Kulevya Inawezekana" hahahahaha Ntacheka sana siku hiyo!!

Mtu alisema ukweli "Sometimes the best Defense is a Good Offense" LOLOLOL
 
Mtoa list ni mtu anayeinama mbele yake na kufunga kamba zaviatu,siajabu kwenye kuandika list alitajiwa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…