sblandes JF-Expert Member Joined Apr 25, 2010 Posts 6,632 Reaction score 4,737 Sep 20, 2020 #41 RUSTEM PASHA said: Hawa wapumbavu wanaojitoa katikati ya kampeni ndio wanaotuchelewesha kufika kwenye safari yetu ya ukombozi . Click to expand... Kule Zanzibar Mr White alivyofariki CCM imepewa nafasi nyingine. Na huyu jinga aliekimbia mtanange inabidi Chadema iweke mtu mwingine .
RUSTEM PASHA said: Hawa wapumbavu wanaojitoa katikati ya kampeni ndio wanaotuchelewesha kufika kwenye safari yetu ya ukombozi . Click to expand... Kule Zanzibar Mr White alivyofariki CCM imepewa nafasi nyingine. Na huyu jinga aliekimbia mtanange inabidi Chadema iweke mtu mwingine .
denooJ JF-Expert Member Joined Mar 31, 2020 Posts 18,509 Reaction score 68,228 Sep 20, 2020 #42 Mtu anapoamua kujitoa wakati huu huyo ni wa kumchunguza kwa makini sana, hii sio akili ya kawaida, lazima kuna sababu nyuma ya pazia.
Mtu anapoamua kujitoa wakati huu huyo ni wa kumchunguza kwa makini sana, hii sio akili ya kawaida, lazima kuna sababu nyuma ya pazia.
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Sep 20, 2020 Thread starter #43 Kadhi Mkuu 1 said: Kajitoa au kajiuza? Chadema mtapata akili lini? Click to expand... Wewe ndio mnunuzi bwashee?
Kadhi Mkuu 1 said: Kajitoa au kajiuza? Chadema mtapata akili lini? Click to expand... Wewe ndio mnunuzi bwashee?
Y yanga2000 JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 367 Reaction score 294 Sep 20, 2020 #44 johnthebaptist said: Ni jambo jema. NEC imempitisha bila kupingwa Ridhiwani Kikwete kuwa Mbunge wa jimbo la Chalinze baada ya mshindani wake kutoka chama pinzani kujitoa. Source Swahili times Maendeleo hayana vyama! Click to expand... Ridhwani hakuna lolote amefanya chalinze ...zero ...kweli bagamoyo bado nyjma mnooo
johnthebaptist said: Ni jambo jema. NEC imempitisha bila kupingwa Ridhiwani Kikwete kuwa Mbunge wa jimbo la Chalinze baada ya mshindani wake kutoka chama pinzani kujitoa. Source Swahili times Maendeleo hayana vyama! Click to expand... Ridhwani hakuna lolote amefanya chalinze ...zero ...kweli bagamoyo bado nyjma mnooo