Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 3,626
- 3,869
Ridhiwani gani?.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ridhiwani gani?.
Huwezi kuongelea uadilifu angali ukiwa si muadilifu.Unaelewa maana ya neno "uadilifu"?
ndio ninaelewa vyema.Unaelewa maana ya neno "uadilifu"?
Ni nini maana ya uadilifu?ndio ninaelewa vyema.
Uaminifu my ass
Uaminifu my foot"-----------haoni kundule"
Ila mtu asiye muadilifu hana mamlaka ya kimaadili kuweza kuhimiza uadilifu kwa wenzake!Ni nini maana ya uadilifu?
kweli leo umeniamuliaNi nini maana ya uadilifu?
nakujib dada mkubwa.Ni nini maana ya uadilifu?
maana yake ni umoja wa ndani ya kitu na ukamilifu wake. Pia ni sifa ya kuwa mwaminifu.Ni nini maana ya uadilifu?
Wewe unaelewa?Ridhwan unaweza kuwa unaongea Kiswahili lakini wengi hawakuelewi.
Inaonesha wengi, hususan hapa JF hawaelewi maana ya neno uadilifu ni nini.
AlhamduliLlah, sana tu.Wewe unaelewa?
Ahaa. Yesu aliwauliza mafarisayo asiye na dhambi ndio ampige jiwe yule mwanamke. Je unafahamu maana yake?AlhamduliLlah, sana tu.