Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
Pale kigamboni alipora ardhi ya mzee mmoja hivi kisa tu baba yake Ni raisi.Mhiii huyu huyu aliyefukuza watu pale nchicha na kuweka bandari yake kavu immediately baada ya Magufuli kufariki
Wakati mzee wa watu analimiliki kiuhalali eneo. Sijui alijengapo kituo chake Cha mafuta.