📸RIDHIWANI ASISITIZA UTARATIBU WA KUPIMA ARDHI UNAENDELEA, AKABIDHI HATI NNE KILIMANJARO.
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete (Mb), leo amekabidhi hati nne za milki ya ardhi kwa hospitali ya Kibong’oto mbele ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Mpango wakati wa uzinduzi wa maabara ya jamii hospitalini hapo. Mpango wa matumizi ya ardhi kwa ajili ya hospitali hiyo umeandaliwa pia.
#KaziInaendelea
#ArdhiYetu