RIDHIWANI ampongeza Diamond!

RIDHIWANI ampongeza Diamond!

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,277
Reaction score
8,860
Ridhiwani ambaye ni mtoto wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Kikwete, kupitia ukurasa wetu wa Facebook ameweza kuelezea mambo mbalimbali yanayomhusu wakati akijibu maswali ya mashabiki wake katika ulingo wa siasa na kama mtoto wa Rais.
Ridhiwani amekiri kupata maswali mengi ambayo yamekuwa changamoto kwake ambapo yamemlenga kwa namna moja au nyingine kuhusiana na ulingo wa siasa na pia hakuacha kutoa pongezi zake kwa msanii Diamond ambaye aliiwakilisha nchi alipokuwa "nominated" katika tuzo za BET zilizofanyika hivi majuzi nchini Marekani.
Zoezi hili linafanyika kila Jumatano saa 6 mpaka saa 8 mchana kupitia www.facebook.com/eatv.tv
 
Hiv safarii hii hakumpa sembee ninii!!??
 
Wazee wa sembez walionusurika kula kitanzi China hadi leo nchi imetoa rasilimali zake kama kafara
 
Back
Top Bottom