Ridhiwani apigiwa wimbo wa kudai haki kwenye mahafali, akerwa

Huu wimbo unaitwajs mbona ukipigwa huwa mwili wangu unasisimkwa hata sielewi maneno yake
 
Hiyo Ngoma Tamu Sana Rizi Anabetua Mdomo kama amelambishwa magadi
 
Mbona haonekani kama kakereka, he's smiling.
Acheni propaganda za kijinga.
Hahahahaaaa. Ni manyumbu ya lissu na kitima hayo yanahangaika. Hivi hapo yameumizwa kumuona akiwa amealikwa kama mgeni rasmi. Aisee ni mishetani hii midude, acha kabisa!!
 
Huo wimbo wa kigalatia ni wapi unaongelea haki?
Au ndio mchungaji wako amedanganya maana ya huo wimbo
Huu ni udini kumfanyia hivyo makusudi
Mkipigwa mikwala ya kunyofolewa vichwa na mashehe mnalialia udini
 
Hili vugu vugu la mabadiliko litavuma sanaaaa....

Mchimba shimo hujichimbia mwenyewe 👣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…