VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,137
- 17,908
Wakili Ridhiwani J. M. Kikwete amerejea rasmi UDSM kwa masomo ya Shahada ya Uzamili ya Sheria (LL.M) kwa mwaka wa masomo 2013/2014. Kozi husika inaitwa " Taught LLM in Corporate". Kozi husika ni ya mwaka mmoja na itakuwa ikifundishwa jioni Mikocheni B.Baada ya sarakasi za Shahada ya kwanza hapo UDSM,Ridhiwani sasa amerejea kilingeni. Atatoboza????