Ridhiwani arudi UDSM

Ridhiwani arudi UDSM

Wakili Ridhiwani J. M. Kikwete amerejea rasmi UDSM kwa masomo ya Shahada ya Uzamili ya Sheria (LL.M) kwa mwaka wa masomo 2013/2014. Kozi husika inaitwa " Taught LLM in Corporate". Kozi husika ni ya mwaka mmoja na itakuwa ikifundishwa jioni Mikocheni B.Baada ya sarakasi za Shahada ya kwanza hapo UDSM,Ridhiwani sasa amerejea kilingeni. Atatoboza????

hahaha ataweza kweli?na mishe mishe za huko

  • :frusty:
 
Mimi mbona nipo Masters ya Electronics and Information Technology lakini hamjatuandika mnaona hizo ngwini za Law ndiyo deal sana, waTanzania bwana
 
Mimi mbona nipo Masters ya Electronics and Information Technology lakini hamjatuandika mnaona hizo ngwini za Law ndiyo deal sana, waTanzania bwana

Bwana sidhani kama mtoa mada literally anamaanisha sheria no anakitu kingine kwa fikra mgando zako ambazo unafikiri Masters in electronics and IT ndo deal na unapaswa na wewe kutajwa. Huwezi baini alicho maanisha mleta mada. Wewe unafikiri kazi yako hiyo deal sana kuliko nyingine? Finali siyo kusoma ni Maisha ya kitaa!!!!!
 
Mimi mbona nipo Masters ya Electronics and Information Technology lakini hamjatuandika mnaona hizo ngwini za Law ndiyo deal sana, waTanzania bwana

kwani na wewe baba ako ni Raisi.
 
Big up Mr. Ridhwaan... Ujaaliwe Elimu yenye manufaa kwa Umma, Na wengine tupate Moyo wakusoma zaidi. Mungu tuzidishie elimu na hekima.Amin
 
Mkuu mleta mada hebu tuambie kama amepewa mkopo au anasomeshwa na serikali au kajilipia au.....

Najua dada yake ana udhamini kule UK.
 
Nilijua asingebaki na ile LL.B kwa muda mrefu.Hasa kwa wale ambao kesho na keshokutwa wanataka kugombea uongozi na majina yao wangependa yaanzie na Dr.
 
Hongera zake, nadhani itakuwa llm yake ya 2, nakumbuka alishafanya nyingine uk.
 
Mkuu mbona unatutia aibu wana UDSM wenzako?
Kwa akili yako wewe unamuona Rizi ni mtu muhimu sana,mbaka Chuo furani kijisifie kwa yeye kwenda kusoma huko?

Ooops nilipatwa na maswahiba gani sikuiona hi comment at the earliest!

Mkuu you missed my point...kuna chuo huwa kinapigwa vita sana humu JF, nilimaanisha angeenda kusoma katika hiko chuo members wangekiwakia hiko chuo humu ndani mpaka wenye nacho wangeomba "Poo"! Better kaenda huko...
 
Kwa hiyo huyo Ridhiwani kusoma nae chuo kimoja ni sifa???? Amazing

Back
Top Bottom