Ridhiwani arudi UDSM

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,137
Reaction score
17,908
Wakili Ridhiwani J. M. Kikwete amerejea rasmi UDSM kwa masomo ya Shahada ya Uzamili ya Sheria (LL.M) kwa mwaka wa masomo 2013/2014. Kozi husika inaitwa " Taught LLM in Corporate". Kozi husika ni ya mwaka mmoja na itakuwa ikifundishwa jioni Mikocheni B.Baada ya sarakasi za Shahada ya kwanza hapo UDSM,Ridhiwani sasa amerejea kilingeni. Atatoboza????
 
Angeenda kusoma chuo flani, kusingekalika humu...karibu UDSM Rizi ujibebee LLM yako
 

no comment
 
Angeenda kusoma chuo chetu flani, kusingekalika humu...karibu UDSM Rizi ujibebee LLM yako
Mkuu mbona unatutia aibu wana UDSM wenzako?
Kwa akili yako wewe unamuona Rizi ni mtu muhimu sana,mbaka Chuo furani kijisifie kwa yeye kwenda kusoma huko?
 
kwani rizmoko anawakera nini nyie vilaza? mnatamani nafasi yake ya kua mtoto wa raisi? kwani yeye aliomba awe hvyo? toeni pumba zenu, kama hamna vitu vya msingi vya kujadili ni bora mchukue jembe mkalime
 
hivi sasa hili nalo ni la kujadili jamani??
wangapi ni memba humu na wamerudi hap UDSM kusoma uzamivu achilia mbali huo uzamili??
yaani sasa itakuwa hata akijamba atawekewa uzi khaaa!!
simple minds hizi sasa
 
hili jambo lilishasemwa humu kitambo wadau wakasema itakuwa yaleyale,
 

Hili nalo kosa ?
 
kwani rizmoko anawakera nini nyie vilaza? mnatamani nafasi yake ya kua mtoto wa raisi? kwani yeye aliomba awe hvyo? toeni pumba zenu, kama hamna vitu vya msingi vya kujadili ni bora mchukue jembe mkalime

kama ni mkaka nina wasiwasi nawe na kama ni mdada pia nina hofu nakauli yako.
 
Mbona hata mie naanza M.A Public Administration
 
Haki ya Muumba, Watanzania mtakufa masikini na chuki zenu binafsi!
 
C nlickia yuko oxford,au keshamaliza?
 
Mimi nilfikiri kuna 'KUNJI', amekwenda kuwaunga mkono kumbe kusoma. Hiyo ndo kazi ya vyuo vikuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…