Angeenda kusoma chuo chetu flani, kusingekalika humu...karibu UDSM Rizi ujibebee LLM yako
Wakili Ridhiwani J. M. Kikwete amerejea rasmi UDSM kwa masomo ya Shahada ya Uzamili ya Sheria (LL.M) kwa mwaka wa masomo 2013/2014. Kozi husika inaitwa " Taught LLM in Corporate". Kozi husika ni ya mwaka mmoja na itakuwa ikifundishwa jioni Mikocheni B.Baada ya sarakasi za Shahada ya kwanza hapo UDSM,Ridhiwani sasa amerejea kilingeni. Atatoboza????
Mimi mbona nipo Masters ya Electronics and Information Technology lakini hamjatuandika mnaona hizo ngwini za Law ndiyo deal sana, waTanzania bwana
Mimi mbona nipo Masters ya Electronics and Information Technology lakini hamjatuandika mnaona hizo ngwini za Law ndiyo deal sana, waTanzania bwana
kwani na wewe baba ako ni Raisi.
C nlickia yuko oxford,au keshamaliza?
hata mimi nafahamu hivyokama sikosei kuna kipindi alikwenda UK kusoma masters ya sheria.
Mkuu mbona unatutia aibu wana UDSM wenzako?
Kwa akili yako wewe unamuona Rizi ni mtu muhimu sana,mbaka Chuo furani kijisifie kwa yeye kwenda kusoma huko?
Kwa hiyo huyo Ridhiwani kusoma nae chuo kimoja ni sifa???? Amazing