mkuu haya mambo ya siasa yanatia uchungu sana kuona picha kama hizi ndio maana napoteza kwenye sports lol.
Kwenye sport kuna Siasa umemsikia Wenger akilia na waamuzi na Jitu Kubwa (Big SAM) alivyomkumbusha kuwa football is a contact game kama vipi Arsene akafundishe Pull Table!
Hizo sio siasa ni mbinu ya kuteka akili za marefa wewe si unamuona mzee ferguson nae anambinu zake za kuteka akili za marefa lol.
Just like the way Jose Maurinho took a swipe on Arsene Wenger last week that Arsenal have never and will never be the UEFA championship winners!
Vote CCM
Ukicheki vizuri nyuso zao vijana/watoto utaona shida wanaoishi nayo kila siku, na kwamba wako hapo kwa vitisho na ulazima (labda familia zao zinatumaini watapata chochote) ila Ridhwani ana afya nzuri ajabu ametoka kutoka gari lenye AC na furaha tele.
Wamwogope Mungu! Wajue hakuna kitu cha milele na siku za watanzania kuwaogopa unazidi kupotea. Yaani inasikitisha hii picha, honestly!
Prince Riz One al Jakaya bin Kikwete of the Sultanate Republic of Tanzaniayal
Chelsea Clinton did the same for Hillary
Michelle Obama did the same for Barack
Just like the way Jose Maurinho took a swipe on Arsene Wenger last week that Arsenal have never and will never be the UEFA championship winners!
Vote CCM
Halafau Kinana anakuja anatwambia kuna vijana kama 30 akiwamo Ridhiwani wameteuliwa kutoka UVCCM wamkampenie JK...anashangaa kwanini watu hawaulizi habari za hawa wengine 29, wanauliza za Ridhwani tu...kumbe hajuwi kuwa habari za Ridhwan hazifanani na za hao 29 wengine maana zimefurutu ada...angalia watoto wamekakamaa hapo kama wananjaa hivi...du kweli naaamini maneno ya Prof. Baregu kuwa ujinga wa Watanzania na njaa ndiyo mtaji wa CCM.Haya mambo ndo yanayo nifanye nimchukie Mkwere na CCM ! Dogo anakagua parade