Ridhiwan Kikwete amechukua na kurudisha fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Chalinze kwenye ofisi ya Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Bagamoyo
Ridhiwani ambaye ni Mbunge wa Jimbo hilo anataka kuendelea kuitetea nafasi yake hiyo na yupo tayari kwa ajili ya kinyang’anyiro hicho kitakacho tamatika Oktoba mwaka huu
Soma pia:
www.jamiiforums.com
Chanzo: kikeke digital
Ridhiwani ambaye ni Mbunge wa Jimbo hilo anataka kuendelea kuitetea nafasi yake hiyo na yupo tayari kwa ajili ya kinyang’anyiro hicho kitakacho tamatika Oktoba mwaka huu
Soma pia:
PreGE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Habari Wakuu, Ili kuzifikia nyuzi hizi kirahisi, hapa utapata orodha yote ya mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kwenye ushiriki wa Uchaguzi Mkuu 2025, ambamo ndani yake utapata links za matukio yote yanayojiri katika mikoa husika mpaka kufikia kwenye uchaguzi wenyewe, matokeo ya uchaguzi huo...