Ridhiwani Kikwete afungua maonyesho ya viwanda vya kuzalisha Nishati kwa kutumia Teknolojia mbalimbali

Naona kijana anaandaliwa..sasahivi kila tukio yupo anapewa maiki atie neno..kumbukeni hata mwenda zake alikua na lengo la kuongezewa miaka.

#MaendeleoHayanaChama
 
Wakina SHIKUBA waliisha wataja kwenye kesi yao kuwa ukoo wao unahusika na Biashara hiyo kama alivyokuwa NORIEGA!!!
Kwahio mashtaka kwa ukoo πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Ukoo ndio mtu gan ss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…