Ridhiwani Kikwete ataja 11 wanaotosha kugombea urais 2015

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
6,067
Reaction score
10,938

Ridhiwani ana mpango wa kugombea urais? Je anamiliki mali gani usikose mfululizo wa habari hii. Itaendelea kesho.

Chanzo: Mwananchi
 
Si utuwekee basi hao aliowataja? Wengine hatujapata gazeti hilo
 
Si utuwekee basi hao aliowataja? Wengine hatujapata gazeti hilo
 
...maajabu haya kumbe CCM ina wenyewe ni kauli ya ukweli kabisa!Ridhiwani hawezi kunisaidia mimi,baba yangu wala ndugu yangu sb hana issue nasi,alimsaidia membe ili ampe uwaziri akiwa rais huo ndio ukweli na membe ndio chaguo la mzee pia,hakika vyeo hivi vya kupeana na kupokezana kama ile riadha ya vijiti hakika safari hii hatuta kubali,hii ni nchi yetu sote,kama hivyo afadhali yai livunjike.
 
Is he custodian of standard?????????????Riz1 is just a small boy with little experiance i woukld advice him to keep a distance and leave the big fish to debate on this
 
The president's son is overestimating his capability!
 
kweli kazi tunayo,mbona hajawataja sumaye,sita na mwandosya lakini?
 
Source Mwananchi?
Hakuna issue hapo, kazi kulisha maneno limebaki kuwa la interview.

Gazeti la propaganda za maccm

Shame on you Mwananchi
 
Ngoja wakati ufike mambo yote yatakuwa bayana tu zingine porojo tu watajichuja wenyewe na kupata tatu bora mpaka moja bora.
 
Source Mwananchi?
Hakuna issue hapo, kazi kulisha maneno limebaki kuwa la interview.

Gazeti la propaganda za maccm

Shame on you Mwananchi
We tunajua hauko sawa siku zote hata ukiwa na hasira kiasi gani kama mungu kawapangia watu watakwenda na wewe utabaki tu.
 
Dogo hajitambui - anawalaumu wajumbe kumpigia kampeni mtu wasiyemtaka wakati yeye kawalazimisha wampigie kura Membe ambaye hakuwa chaguo lao binafsi- naombeni msome hizi aya mbili

Hata hivyo, Ridhiwani alieleza kukerwa na kitendo cha baadhi ya wajumbe ambao katika uchaguzi wa ndani badala ya kufanya kampeni kwa mtu wanayemtaka, wanafanya kampeni dhidi ya yule wasiyemtaka. “Hili ni jambo la ovyo ambalo nimewahi kuliona katika chama chetu… na tangu nimezaliwa sijawahi kuliona. Kwa mara ya kwanza nimekuja kuliona kwenye NEC,” alisema-

Ndiyo maana mimi nikasimama kuwaomba watu wa Dar es Salaam na Mkoa wa Pwani tumsaidie Membe. Walionyesha ushirikiano wa kutosha na wakamchagua kwa kura nyingi na akaingia NEC.-
 
Nimelisoma Mwananchi katika list ya huyu dogo Sitta kamweka pebeni kabisa.
 
Ridhiwani ana mpango wa kugombea urais? Je anamiliki mali gani usikose mfululizo wa habari hii. Itaendelea kesho.

Chanzo: Mwananchi

Tunaitaji kijana,mwenye nguvu,mchapa kazi,mzalendo na mwenye malengo mazuri kwa taifa.
 
Nimelisoma Mwananchi katika list ya huyu dogo Sitta kamweka pebeni kabisa.
Hizo ni fikra zake kawaweka pembeni wengi tu Bilal, Sumaye, Maghufuli, na wengine.
 
-hahahahahah mbona hajaeleza watu zile ela wanazochukua kupitia WAMA kutoka kwa wazungu kwa ajili ya kampeni ya MEMBE.

-Mbona hajaulizwa kuhusu sembe, kuwa yeye ndio kinara

-Mbona hajaelezea fedha walizopew na Buffet tajiri wa dunia kuhusu kampeni ya MEMBE

-Mbona haelezi kuhusu vikao wanavyofanya nyumbani kwa Nyalandu kuhusu mikakati yao ya kumbeba MEMBE (mke wangu alikuwepo kwenye hicho kikao tarehe 8/7/2014)

Mbona hawaelezi kuwa fedha wanazopata kutoka kwenye biashara ya sembe ndio mtaji wao wa 2015

NB: hayo yote hapo juu ni jambo jema sana kama watanzania watapata ukeli, kamwe msifikiri Tanzania watu tumelala, tunajua kila kiyu kinachooendelea..

Hata siku moja hatuwezi kukubali kuletewa rais dhaifu kuliko huyu aliyopo, tena worse enough familia iyo iyo iliyo dhaifu zaidi ndio watuchaguliye rais.....come onnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnn watanzania we are not thinking kwa kutumia masaburi
 
Ngoja wakati ufike mambo yote yatakuwa bayana tu zingine porojo tu watajichuja wenyewe na kupata tatu bora mpaka moja bora.

Mi ccm inawaza urais tuu!hizi demokrasia za kutawala miaka 10 ni hasara kwa nchi za kimasikini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…