T the horse JF-Expert Member Joined Sep 27, 2011 Posts 652 Reaction score 442 Sep 18, 2021 #1 Mbunge wa Chalinze Mkoani Pwani Mhe Ridhiwani Kikwete alihudhuria mkutano wa pili wa wadau wa sekta ya mkonge mwaka 2021 na haya ndiyo aliyoyazungumza alipopata nafasi ya kutoa neno kwenye mkutano huo. #KaziInaendelea. Attachments VID-20210918-WA0049.mp4 11.7 MB
Mbunge wa Chalinze Mkoani Pwani Mhe Ridhiwani Kikwete alihudhuria mkutano wa pili wa wadau wa sekta ya mkonge mwaka 2021 na haya ndiyo aliyoyazungumza alipopata nafasi ya kutoa neno kwenye mkutano huo. #KaziInaendelea.
G G4N JF-Expert Member Joined Apr 6, 2014 Posts 4,283 Reaction score 9,925 Sep 18, 2021 #2 Kasemaje? Nilitaka kununua bando lon hela yangu imechukuliwa na tozo
USSR JF-Expert Member Joined Jul 15, 2015 Posts 10,904 Reaction score 26,184 Sep 18, 2021 #3 Apewe unaibu waziri Sasa maana anao uzoefu wa kutosha kutoka home hadi mjengoni USSR
USSR JF-Expert Member Joined Jul 15, 2015 Posts 10,904 Reaction score 26,184 Sep 18, 2021 #4 G4N said: Kasemaje? Nilitaka kununua bando lon hela yangu imechukuliwa na tozo Click to expand... Sasa mbowe utamchangia bei gani USSR
G4N said: Kasemaje? Nilitaka kununua bando lon hela yangu imechukuliwa na tozo Click to expand... Sasa mbowe utamchangia bei gani USSR
G G4N JF-Expert Member Joined Apr 6, 2014 Posts 4,283 Reaction score 9,925 Sep 18, 2021 #5 USSR said: Sasa mbowe utamchangia bei gani USSR Click to expand... Rais wa kudra hana namna. Atapalangana mwishowe ataufyata na kumwachia Mbowe bila masharti
USSR said: Sasa mbowe utamchangia bei gani USSR Click to expand... Rais wa kudra hana namna. Atapalangana mwishowe ataufyata na kumwachia Mbowe bila masharti