Tetesi: Ridhiwani Kikwete awavaa WASAFI, awatolea povu nje nje

Kuna vitu vingine sio kazi ya meneja wajameni, jambo kama hili wa kulaumiwa ni Captain wa boti, sio Fella.
Lakini je kama walikataa wenyewe kuvaa ma life jacket!? ni party gani hiyo wanavaa ma life jackets??
 
Wangepinduka lawama kwa serikali duh
 
Wasafi ni kikundi cha watu wangapi hadi tujute kuwapoteza?

Kama tulipoteza watu zaidi ya 200 hivi karibuni watu 10 tushindwe kuwamudu kwenye mazishi na rambirambi?
Naona unataka kuleta ujanja wa mbuni wa kuficha kichwa kwenye mchanga na kudhani haonekani! Mo Dewji sio mtu wa kwanza kutekwa Tanzania. Tafuta nyuzi kuhusu kutekwa kwa hao wengine na kutekwa kwa Mo!
 
Naona unataka kuleta ujanja wa mbuni wa kuficha kichwa kwenye mchanga na kudhani haonekani! Mo Dewji sio mtu wa kwanza kutekwa Tanzania. Tafuta nyuzi kuhusu kutekwa kwa hao wengine na kutekwa kwa Mo!
Usikariri kila kelele za miguno ni za ngono, jifunze kuelewa maandiko sio kukurupuka na MO kwani nani hajui kuwa katekwa.

Mbona hujielewi!!!
 
Usikariri kila kelele za miguno ni za ngono, jifunze kuelewa maandiko sio kukurupuka na MO kwani nani hajui kuwa katekwa.

Mbona hujielewi!!!
Mgumu kuelewa! Kwaheri na endelea kuamini kila roho hapa duniani zipo sawa!
 
Suala la Mo na habari za WCB zimekuwa na mahusiano gani? Tumia akili kujibu sio unakurupuka kama kamasi za makalio.
Mgumu kuelewa! Kwaheri na endelea kuamini kila roho hapa duniani zipo sawa!
 
Mwambie jirani yako Riz aache umbeya , watu wa chalinze wanahitaji maendeleo, WCB hawahusiki na umaskini wa watu wa chalinze, halafu alivyo mnafiki mbona mazuri ya WCB utomuona kupost ila mabaya ndio upost kwa haraka , hivyo basi mwambie asiwe kimbelembele kama tai
 
ingetokea tu wamepata tatizo lawama zingekuwa kwa nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…