Tetesi: Ridhiwani Kikwete awavaa WASAFI, awatolea povu nje nje

Yakhee Ammi kiukweli ni Hatari kwa maana wanataka kuja kuwapa wakuu kazi ya kutoa RambiRambi
 
Kuna vitu vingine sio kazi ya meneja wajameni, jambo kama hili wa kulaumiwa ni Captain wa boti, sio Fella.

Wao kama Ma manager wanatakiwa kuhakikisha usalama wa wasanii wao, sasa Hao Ma captain kama hawakuambiwa wangetokea wapi
 

Nakwambia, Liz umbea unamsumbua na wivu , mbona tukio la tandale hakupost? Tatizo yeye Hana nyota atulie tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…