Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 2,833
- 1,301
Sijakuelewa, una maana gani, fafanua swali lakoSasa hiki ndio nini au shule zimefungwa watoto wamerudi majumbani?
Ujinga upi tena, kupongeza Serikali au Royal Tour. Sema ili tukuelewesheUjinga mtupu
Nauliza mwalimu wako mkuu anaitwa nani?Sijakuelewa, una maana gani, fafanua swali lako
Vipi serikali ya awamu ya nne? Sijawahi kumsikia ukiishukuru
Ujinga mtupu
Huwezi kushukuru ukiwa ndani ya sinia la ubwabwa.......ni mwendo wa kusokomeza matonge kwa kwenda mbele, maana huwezi kuongea chakula kikiwa kimejaa mdomoni.Vipi serikali ya awamu ya nne? Sijawahi kumsikia ukiishukuru
Eti Ridhiwani Kikwete nae ni Mbunge. Kuna muda huwa nawatafakari Watanzania na vilivyomo Ubongoni mwao na huwa sipati Majibu ya Kuniridhisha.Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mhe. Ridhiwani Jakaya Kikwete aishukuru Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais wa JMT Mhe. Samia Suluhu Hassan.
Kazi Nzuri inayofanywa na Serikali yetu ya Awamu ya Sita Chini ya Uongozi wa Mhe. Samia Suluhu Hassan ndani ya Kipindi hiki cha Miezi Sita katika Sekunde 25 za Mbunge wa Chalinze Mhe. Ridhiwani Kikwete aliposhiriki kwenye mapokezi ya Rais Samia akielekea Bagamoyo Kurekodi kipindi Cha Royal Tour.
View attachment 1923250
#KaziIendelee #AsanteRaisWetu #KaziUnaipigaKweli #Chalinze tunakushukuru
Eti Ridhiwani Kikwete nae ni Mbunge. Kuna muda huwa nawatafakari Watanzania na vilivyomo Ubongoni mwao na huwa sipati Majibu ya Kuniridhisha.
Haishindi ule upendeleo wa waziwazi wakati wa enzi za utawala wa baba yake.Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mhe. Ridhiwani Jakaya Kikwete aishukuru Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais wa JMT Mhe. Samia Suluhu Hassan.