Ridhiwani Kikwete: Chalinze tumepata maendeleo makubwa ndani ya muda mfupi wa uongozi wa Rais Samia

Aache uongo, kama ni ujenzi wa makao makuu ya wilaya Chalinze uliachwa ukiwa hatua za mwisho, barabara za zege ameziacha mtangulizi wake, eneo la ujenzi wa kituo cha kupozea umeme wa bwawa la Nyerere limeachwa na mtangulizi wake, ujenzi wa viwanda mbalimbali umeachwa na mtangulizi wake, vituo vya afya ameacha mtangulizi wake sasa ni kipi kipya zaidi ya hapo?

Reli ya mwendo kasi kaacha mtanguli wake pia yeye anaendeleza tu

Jambo baya ambalo mbunge na wengine hawajafanya vizuri ni kuacha ujenzi wa bandari ya nchi kavu na majengo ya shirika la nyumba hapo kwenye eneo kabla hujafika Msoga kwenye makazi ya rais mstaafu JK. Kijiji cha Msoga kinatakiwa kipandishwe hadhi kuwa mji mdogo na uwekezaji ufanyike hapo maana mazingira yanaruhusu
 
Maendeleo hayo makubwa yapi hayo?
Mkuu huo ni uzao wa nyoka na unafiki uliokubuhu kwa hiyo wala usishangae kumshukuru mtu kwa kazi hewa aliyowafanyia; kila kitu kinachoonekana sasa hivi hapo Chalinze aliyeanzisha kufanya ni JPM; baba yake katelekeza Msoga
 
Eti Ridhiwani Kikwete nae ni Mbunge. Kuna muda huwa nawatafakari Watanzania na vilivyomo Ubongoni mwao na huwa sipati Majibu ya Kuniridhisha.
Utamfananisha na watu km Kibajaji, Gwajima, Kabud.!!!
 
Huyu ana beep teuzi,hana lolote.
 
Hahahahah baba baba aziza umepata maendeleo makubwa sio

Ridhiwani bana hahahaha sema nn simama pekee yako mkuu
 
Huu ni upuuzi kama upuuzi mwingine…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…