Jimmy George
JF-Expert Member
- Nov 28, 2016
- 1,733
- 1,648
Hajasema kwa ubaya lengo lake ni kuwakumbusha TIFUATIFUA kuwa wamepoteza uwezo wa kuwa wabunifu na kushindwa kuendesha soka la Tz kufanya mpira wetu kuwa bora
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
matokeo ndio majibu.........jealous is just weak emotion!!!!!!!!Nape Naye Kajibu mapigo
![]()
Kwani wakati Stars inashindwa kwenda si babake aliyejidai mpenda michezo alikuwa Rahisi(Simple)? Kinachomtoa povu nini, anatafuta kiki au kavimbiwa maembe [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] nasikia wanashindia vitu hivyo kwake[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Jamaaa riz yuko sahihi kabisa unajua inauma sana badala ya timu yetu kupewa bendera ikatuwakilishe (IMESHINDWA) ndio maana anaumia kupewa msanii wa muziki.... Tena tunajitangazia kwa furaha.... Ni aibu jamani NEXT TIME tujitahidi...
![]()
Kayasema Hayo Kwenye Account Yake Ya Instagram...
Je Ni chuki?.... Kutomkubali Nape ?.. kutomkubali Diamond au Basi Tu

Akili ndogo...alichotaka ni timu iende ikatuwakilishe yaan tuhakikishe tunapeleka timu AFCON wakapeperushe bendera na siyo kutumbuiza tu wakati tumeahindwa kupata nafasi ya kuchuana kimpira...hiz thread nyingine zinajaza nafas tu humu.![]()
Kayasema Hayo Kwenye Account Yake Ya Instagram...
Je Ni chuki?.... Kutomkubali Nape ?.. kutomkubali Diamond au Basi Tu
There ua bro ndo maana yake na yupo sahihiKwani jamaa amechukia au amewaponda tff yaani mwanamuziki ndo anatuwakilisha sio taifa stars,au mi nimeelewa tofauti?
KabisaJamaaa riz yuko sahihi kabisa unajua inauma sana badala ya timu yetu kupewa bendera ikatuwakilishe (IMESHINDWA) ndio maana anaumia kupewa msanii wa muziki.... Tena tunajitangazia kwa furaha.... Ni aibu jamani NEXT TIME tujitahidi...
Tff ccmNape ccm
Diamond ccm
Riz ccm
Sasa anabwabwaja nini