Alafu kofia kaiweka kimkakati sana.
Umeanza Lin haya mambo😀Alafu kofia kaiweka kimkakati sana.
Ili mradi sijda ionekane,na Kawa serious kujifanya anasoma kumbe anajua Kuna cameraman mbele anammulika.
Umemuona hyo mzee wa kulia mbele yake 😄
Nina rafiki zangu waarabu na wahindi hawakosi kuingia msikitini lakini mbona wao hawana hiyo alama nyeusi?
🤣🤣Ubwabwah wa bureh nomaView attachment 2951867
Sheikh ubwabwa mpaka analalia mwenzie ili aonekane anafuatilia kwa makini kwa kupiga picha na infinix yake😂😂😂
Hapo full mashuzi. Na lazima aliomba nauli kutoka kwa Riz1 baada ya mnuso kuisha.🤣🤣Ubwabwah wa bureh noma
Melanin hiyoNina rafiki zangu waarabu na wahindi hawakosi kuingia msikitini lakini mbona wao hawana hiyo alama nyeusi?
Hii kitu inaniachiaga maswali mengi sana au ngozi ya mweusi ni laini sana za wengine ni ngumu sana?
Mkuu unielewe sizungumzii mabanian mimi nazungumzia wahindi waislam na waarabu wenye ngozi nyeupe.Melanin hiyo
Wahindi wao wanapaka kidoti chekundu
Haa Haa Acha Watu Wapate Iftar KwanzaRais ajaye. Asiyetaka ahamie Burundi
Inategemea na ngozi na ngozi. Halafu wewe hayo maswali unayojiuliza ni kwamba unajali sana kuhusu waislam na Uislam au?Nina rafiki zangu waarabu na wahindi hawakosi kuingia msikitini lakini mbona wao hawana hiyo alama nyeusi?
Hii kitu inaniachiaga maswali mengi sana au ngozi ya mweusi ni laini sana za wengine ni ngumu sana?
Usiku Mmoja Haozeshi NyamaFuturu ikiisha, wanarudi kwenye umaskini wao, Jimbo la chalinze, kuna kaya maskini balaa, nilifika kitongoji cha pingo, watu wanaishi kwenye mbavu za mbwa!
Huwezi a mini, hiki kijiji kipo km hazizidi 150! Kutoka Dar centre of development, sasa kama pingo pako hivyo!kyelwa Kagera, au nanyumbu mtwara, 1400km patakuwaje?
Wapo waarabu na wahindi wanatoka hizo alama. Enhee nini tena?Mkuu unielewe sizungumzii mabanian mimi nazungumzia wahindi waislam na waarabu wenye ngozi nyeupe.
Wao hawana hizo sugu kwenye nyuso zao hata jamaa zangu weusi wenzangu mwezi huu wa kufunga ile wiki ya kwanza tu kila mmoja alikuwa ameshapata hiyo kitu hadi wengine nikawa nawatania kama wamepaka mkaa.
Baba rais, mama mbunge na naibu rais kimaokoto na mtoto waziri, futari ni sawa na kununua Mo Xtra chupa moja, na baada ya futari posho ya kupeleka nyumbani ila 2025 tukumbukane.KUMI LA PAMOJA CHALINZE
Wana Chalinze wa Tarafa za Kwaruhombo na Msata wamejumuika na Mbunge wao ambaye ni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Ndg. Ridhiwani Kikwete katika futari ya pamoja kipindi hiki cha Mwezi wa Ramadhani.
Futari hii iliyokutanisha Masheikh na waumini mbalimbali ilitumika pia kumuombea Rais wa JMT Dr. Samia Suluhu Hassan na kufanya kumbukizi ya miaka 25 toka kufariki kwa Mama Mzazi wa Baba yetu Dr. Jakaya Mrisho Kikwete , Bibi Goya Bint Jumbe.
Tunawashukuru sana kwa kuja.
View attachment 2951786View attachment 2951787View attachment 2951788View attachment 2951789View attachment 2951790