Ridhiwani Kikwete na Wana Chalinze wa Tarafa za Kwaruhombo na Msata wajumuika kwa futari ya pamoja kipindi hiki cha Mwezi wa Ramadhani

Pfizer

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2021
Posts
590
Reaction score
807
KUMI LA PAMOJA CHALINZE

Wana Chalinze wa Tarafa za Kwaruhombo na Msata wamejumuika na Mbunge wao ambaye ni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Ndg. Ridhiwani Kikwete katika futari ya pamoja kipindi hiki cha Mwezi wa Ramadhani.

Futari hii iliyokutanisha Masheikh na waumini mbalimbali ilitumika pia kumuombea Rais wa JMT Dr. Samia Suluhu Hassan na kufanya kumbukizi ya miaka 25 toka kufariki kwa Mama Mzazi wa Baba yetu Dr. Jakaya Mrisho Kikwete , Bibi Goya Bint Jumbe.

Tunawashukuru sana kwa kuja.
IMG-20240402-WA0012.jpg
IMG-20240402-WA0009(1).jpg
IMG-20240402-WA0008(1).jpg
IMG-20240402-WA0007(1).jpg
IMG-20240402-WA0010(1).jpg
 
1712065370895.png

Sheikh ubwabwa mpaka analalia mwenzie ili aonekane anafuatilia kwa makini kwa kupiga picha na infinix yake😂😂😂

Hii ni trick ya kwenda kuomba afungashiwe vyakula vya kulia daku kwa kumtisha mpishi kuwa yeye ni swahiba wa Kikwete.
 
Alafu myebusi @Maghayo,hebu muulize kijana wako adriz ,ni sahihi kweli kuandaa futari na kujiexpose kwenye media na mitandao?

Naona kama imekaa kinafiki hivi. Alafu ni michezo unakuwa kwa Kasi sana miongoni mwa waislamu miaka hii ya smartphone na mitandao.

"Picha mbali mbali za wadau wakipata iftar ikulu jijini Dar es salaam,iliyoandaliwa na Rais Dr Samia Suluhu Hasan".. Dizain kama Allaha anamixiwa na siasa hivi!! Au nipo nje ya mstari wakuu wa ghayo gang?
 
Nina rafiki zangu waarabu na wahindi hawakosi kuingia msikitini lakini mbona wao hawana hiyo alama nyeusi?

Hii kitu inaniachiaga maswali mengi sana au ngozi ya mweusi ni laini sana za wengine ni ngumu sana?
Melanin hiyo

Wahindi wao wanapaka kidoti chekundu
 
Melanin hiyo

Wahindi wao wanapaka kidoti chekundu
Mkuu unielewe sizungumzii mabanian mimi nazungumzia wahindi waislam na waarabu wenye ngozi nyeupe.

Wao hawana hizo sugu kwenye nyuso zao hata jamaa zangu weusi wenzangu mwezi huu wa kufunga ile wiki ya kwanza tu kila mmoja alikuwa ameshapata hiyo kitu hadi wengine nikawa nawatania kama wamepaka mkaa.
 
Futuru ikiisha, wanarudi kwenye umaskini wao, Jimbo la chalinze, kuna kaya maskini balaa, nilifika kitongoji cha pingo, watu wanaishi kwenye mbavu za mbwa!
Huwezi a mini, hiki kijiji kipo km hazizidi 150! Kutoka Dar centre of development, sasa kama pingo pako hivyo!kyelwa Kagera, au nanyumbu mtwara, 1400km patakuwaje?
 
Nina rafiki zangu waarabu na wahindi hawakosi kuingia msikitini lakini mbona wao hawana hiyo alama nyeusi?

Hii kitu inaniachiaga maswali mengi sana au ngozi ya mweusi ni laini sana za wengine ni ngumu sana?
Inategemea na ngozi na ngozi. Halafu wewe hayo maswali unayojiuliza ni kwamba unajali sana kuhusu waislam na Uislam au?
 
Futuru ikiisha, wanarudi kwenye umaskini wao, Jimbo la chalinze, kuna kaya maskini balaa, nilifika kitongoji cha pingo, watu wanaishi kwenye mbavu za mbwa!
Huwezi a mini, hiki kijiji kipo km hazizidi 150! Kutoka Dar centre of development, sasa kama pingo pako hivyo!kyelwa Kagera, au nanyumbu mtwara, 1400km patakuwaje?
Usiku Mmoja Haozeshi Nyama
Iftar Haitoshi Inatakiwa Wale Mwaka Mzima Wote Siyo Single Day
 
Mkuu unielewe sizungumzii mabanian mimi nazungumzia wahindi waislam na waarabu wenye ngozi nyeupe.

Wao hawana hizo sugu kwenye nyuso zao hata jamaa zangu weusi wenzangu mwezi huu wa kufunga ile wiki ya kwanza tu kila mmoja alikuwa ameshapata hiyo kitu hadi wengine nikawa nawatania kama wamepaka mkaa.
Wapo waarabu na wahindi wanatoka hizo alama. Enhee nini tena?
 
KUMI LA PAMOJA CHALINZE

Wana Chalinze wa Tarafa za Kwaruhombo na Msata wamejumuika na Mbunge wao ambaye ni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Ndg. Ridhiwani Kikwete katika futari ya pamoja kipindi hiki cha Mwezi wa Ramadhani.

Futari hii iliyokutanisha Masheikh na waumini mbalimbali ilitumika pia kumuombea Rais wa JMT Dr. Samia Suluhu Hassan na kufanya kumbukizi ya miaka 25 toka kufariki kwa Mama Mzazi wa Baba yetu Dr. Jakaya Mrisho Kikwete , Bibi Goya Bint Jumbe.

Tunawashukuru sana kwa kuja.
View attachment 2951786View attachment 2951787View attachment 2951788View attachment 2951789View attachment 2951790
Baba rais, mama mbunge na naibu rais kimaokoto na mtoto waziri, futari ni sawa na kununua Mo Xtra chupa moja, na baada ya futari posho ya kupeleka nyumbani ila 2025 tukumbukane.
 
Back
Top Bottom