Ridhiwani: Serikali kuajiri watumishi 30,000 mwaka huu

Ridhiwani: Serikali kuajiri watumishi 30,000 mwaka huu

BWANKU M BWANKU

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
377
Reaction score
435
Serikali katika Mwaka huu wa Fedha yaani 2022/23 imetoa vibali vya Ajira 30,000. Maelezo hayo yametolewa na Mh. Ridhiwani Kikwete, Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora alipokuwa anajibu Swali la Mbunge wa Mburu Mjini Mh. Zakaria Issay.

View attachment 2587732
WATANZANIA WAMECHOKA KUDANGANYWA KWANI LAZIMA MTUDANGANYE
 
Serikali katika Mwaka huu wa Fedha yaani 2022/23 imetoa vibali vya Ajira 30,000. Maelezo hayo yametolewa na Mh. Ridhiwani Kikwete, "Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora" alipokuwa anajibu Swali la Mbunge wa Mburu Mjini Mh. Zakaria Issay.

Screenshot_20230414-183855~2.png

Ushauri:-
(a). Watanzania wenye sifa wachangamkie nafasi hizo;

(b). Waombaji wazingatie maelekezo ya Serikali na kuhakikisha maombi yanaenda na muda;

(c). Wakati wote waombaji waepuke matapeli wanaopiga simu za kuwaambia kiwa wanasaidiwa na kutaka watumiwe fedha.

Msakila Kabende
Kakonko - Kigoma
 
Back
Top Bottom