BWANKU M BWANKU
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 377
- 435
Angekuwa ni yule Waziri Msukuma ungeanza kupongeza kwa ajira mpya.Muogopeni Mungu.
Acheni dhihaka kwa raia maskini wa nchi hii.
WATANZANIA WAMECHOKA KUDANGANYWA KWANI LAZIMA MTUDANGANYESerikali katika Mwaka huu wa Fedha yaani 2022/23 imetoa vibali vya Ajira 30,000. Maelezo hayo yametolewa na Mh. Ridhiwani Kikwete, Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora alipokuwa anajibu Swali la Mbunge wa Mburu Mjini Mh. Zakaria Issay.
View attachment 2587732
Wakati jiwe akiwapiga danadana watoto wa masikini wa nchi hii hukuona dhihaka?Muogopeni Mungu.
Acheni dhihaka kwa raia maskini wa nchi hii.