Wameanza tenaNaona wameanza tena! Tunamuomba Mungu apishilie mbali mambo ya hovyo kama haya.
Huyo majaliwa aliamua kujiropokea tu halikua hajui lolote
Usinikumbushe mbali, majuzi tu Kasim Majaliwa aliulizwa JPM yuko wapi akasema kama uliyoyasema ya JK. Ilipofika tar 17.3.2021 yakawashinda wakatangaza kinyume chake. JK ana mdomo wa kuongea tunasibiri ajibu hoja mitandaoni sio kusemewa.
Mods, please, utengeni uzi wanguAtakuja elewa akiwa amechelewa
Tena eneo lenyewe lile...hatukatai kifo kipo kwahuyo haiwezi tokea kama hicho mnachofikiria ..Lowasa na kikwete kama walivokuambia hawakukutana seminaKweli jamaa kama aliweza kutembea kutoka Monduli saa sita usiku hadi.....
Simulizi ipo humid bwana sio maneno yangu!
Kwanza waislamu kwa tamaduni zetu ikitokea mtu kafa siku hiyo hiyo kachelewa sana siku ya pili hatuweki maiti na misiba yetu haina siri. Mungu akupe umri mrefu JK na kila mtu ataondoka kwa wakati wake.Usinikumbushe mbali, majuzi tu Kasim Majaliwa aliulizwa JPM yuko wapi akasema kama uliyoyasema ya JK. Ilipofika tar 17.3.2021 yakawashinda wakatangaza kinyume chake. JK ana mdomo wa kuongea tunasibiri ajibu hoja mitandaoni sio kusemewa.
Ni Rais pekee alisema naumwa nini na yuko Hosp gani na kama kuumwa cha ajabu nini yeye sasa hivi mtu mzima na tunamuombea Mungu ampe afya zaidi na zaidi.Kauli ya mh.Ridhiwani Kikwete INATOSHA KABISA.....
Mstaafu Rais Jakaya Kikwete ameshawahi kufanyiwa UPASUAJI NA JOPO LA MAPROFESA huko MAREKANI na wala hakuweka USIRI WOWOTE.....
#StaunchSupporterOfCCM
Kumbe anavutaga bange mzee wetu jaman?Bangi zimemuathiri, kalazwa!
Sukuma Gang limewashuka na mimi nimefurahi JK mtoto wa mjini bwana kwa jeuri yake wala asijibu hata katika tweet kimya kamuachia kazi bwana mdogo, walisha mzushia Lowasa, wakaja mzee Mwinyi wakaja kufa wengine hata hatukutegemea. Kifo sio siri bwana. Mungu akuweke JK akupe afya ameen.Wa TZ mna Nongwa. Picha/video haidanganyi. Fungua/ angalia akiwatunukia Phd wahitimu angalia kuanzia Dk 41 utamuona kavaa kofia nyekundu.
Mjadala umefungwa.
Yule alikuwa Waziri Mkuu wa awamu ya 5.
Rais mstaafu Kikwete hajawahi kuwa msiri wa afya yake. Kabla ya Kikwete kuugua na kwenda kutibiwa US, ulikuwa unaufahamu ugonjwa unaoitwa tezi dume? Kikwete hajawahi kuficha maradhi. Hata alipokuwa anaenda US kutibiwa na aliporudi, alilitaarifu taifa zima.
Tunakoenda ni kama kuna Giza Nene vileKumbuka hapa kinazungumziwa kifo sio maradhi. Hilo tu. Kuzushiana vifo ndio tabia inayoshika kasi kwa Watanzania. Hii ni kwa faida ya nani sijui?! Naibu wa Rais kutoka kuzushiwa kufa mpaka Umakamo.
Ina maana hata hiyo taarifa yake ni ya kipuuzi? Alipaswa kusema kwamba "Taarifa mbaya za aina yoyote ni za kipuuzi"Taarifa za aina yeyote ni za Kipuuzi
Mkuu ukiona hivyo jua kuwa kila mtanzania sasa ana pambana na hali yake.Tunakoenda ni kama kuna Giza Nene vile
Mkuu, Mimi binafsi sijafurahishwa na Serikali yetu kufumbia macho mambo ya kipuuzi kama haya ya kuombea watu vifo na kuandamana Kwa makabila yetu, huu ni kama Moshi unaofuka kiduchukiduchuMkuu ukiona hivyo jua kuwa kila mtanzania sasa ana pambana na hali yake.
Nakubaliana na wewe, kama watanzania ambao tulifuta kabisa ubaguzi wa ukabila, udini na tukafanikiwa kwa asilimia kubwa leo tunarudi nyuma kushabikia ubaguzi huo na kuongeza ukanda na kuombeana/kuzushiana VIFO ni upumbavu na kutojielewa. Nani ameishiwa PUMZI? ni Serikali ama chama kinachotuongoza? TUJITAFAKALI, Serikali ya MSETO ni muhimu hata Tanzania Bara.Mkuu, Mimi binafsi sijafurahishwa na Serikali yetu kufumbia macho mambo ya kipuuzi kama haya ya kuombea watu vifo na kuandamana Kwa makabila yetu, huu ni kama Moshi unaofuka kiduchukiduchu
Kikwete ana haki gani? Yule alikuwa msanii tu na mnafiki ile mbaya.Kwa faida ya wapenda haki
Bora ya nafuu kuliko hasaraKikwete ana haki gani? Yule alikuwa msanii tu na mnafiki ile mbaya.
Kumbe unajua alikuwa ni hasara kwa taifa hili, unalalamika nini sasa?Bora ya nafuu kuliko hasara
Wwe wasema butKumbe unajua alikuwa ni hasara kwa taifa hili, unalalamika nini sasa?
Jamaa teja kitambo tu.Kumbe anavutaga bange mzee wetu jaman?
Atakufa tuuu!Jakaya Mrisho Kikwete is a man and a half[emoji1241][emoji1241] mwanaume na nusu. Mungu amlinde na ampe maisha marefu inshallah.