Ridhwani: Jakaya Kikwete yupo salama wa afya nyingi, hana tatizo la kiafya

Vile vile anahitaji kuendesha maisha yake baada ya kustaafu kwa busara. Asifanye kama vile alistaafu bila kupenda na sasa amepata nafasi ya kurudi madarakani kivyakevyake ghafla baada ya kifo cha mwendazake. Kiongozi mwenye busara anatakiwa awe makini kuliona hilo na kupima spidi zake za kurudi kwenye politics wakati huu.
 
Wapuuzi Tanzania ni wengi mkuu anaweza akapigwa hata shaba maana wanaoamini kuwa kikwete anamkono kwenye kifo Magufuli ni wengi mno huku mitaani.
Toka kifo Cha pombe, Kuna kundi lilijitokeza na kusema Kikwete anahusika.
 
Uzushi uliosambaa wiki hii kuhusu mh Jakaya Kikwete kuwa amekufa, ni kiashiria tosha kinachoonesha Kikwete yumo hatarini hatari ya kuuliwa.

Kama nakumbuka vizuri, wakati Lissu alipokwenda chaguliwa kuwa Rais wa TLS kule Arusha, palitokea uvumi kuwa Lissu amepigwa risasi huko Arusha.
Ikaelezwa kuwa Noah nyeusi ilisimama mbele ya jengo la mkutano alipotoka akapigwa.

Haikupita muda mrefu, Lissu akaanza kulalamika kufuatiliwa na watu kila aendako.
Haikupita muda akapigwa risasi huko dodoma.

Ifahamike kuwa ndani ya ccm kundi la mwendazake lipo na ni kundi hatari Sana.
Rais Samia Suluhu Hassan amuongezee ulinzi mheshima kikwete vinginevyo tukicheka na nyani tutavuna mabua

Mods uzi huu msiufute, unamaana na faida kwa taifa
Waliotaka kumuua Tundu Lissu wamekufa wao.

Watakaotaka kumuua JK watatangulia wao kwanza.

KARMA.
 
Vile vile anahitaji kuendesha maisha yake baada ya kustaafu kwa busara. Asifanye kama vile alistaafu bila kupenda na sasa amepata nafasi ya kurudi madarakani kivyakevyake ghafla baada ya kifo cha mwendazake. Kiongozi mwenye busara anatakiwa awe makini kuliona hilo na kupima spidi zake za kurudi kwenye politics wakati huu.
Kikwete Ana nguvu kisiasa ndani na nje ya nchi,
Nguvu hiyo haikuonekana kwakuwa mwendazake hakitaka kushauriwa na waliomtangulia.
 
hayo ni maoni yako, yana haki ya kusikilizwa. Mimi ninaishi nje ya nchi; ninajua kuwa kuwa ukisema Tanzania, unaulizwa majina mawili tu, ambapo la Kikwete halimo. Maoni ya contributing reporters wa magazeti fulani ni kitu kimoja, lakini maoni ya wasema ukweli ni kitu kingine kabisa.
 
Uzushi uliosambaa wiki hii kuhusu mh Jakaya Kikwete kuwa amekufa, ni kiashiria tosha kinachoonesha Kikwete yumo hatarini hatari ya kuuliwa.

Toka kifo Cha pombe, Kuna kundi lilijitokeza na kusema Kikwete anahusika.

Kama nakumbuka vizuri, wakati Lissu alipokwenda chaguliwa kuwa Rais wa TLS kule Arusha, palitokea uvumi kuwa Lissu amepigwa risasi huko Arusha.
Ikaelezwa kuwa Noah nyeusi ilisimama mbele ya jengo la mkutano alipotoka akapigwa.

Haikupita muda mrefu, Lissu akaanza kulalamika kufuatiliwa na watu kila aendako.
Haikupita muda akapigwa risasi huko dodoma.

Ifahamike kuwa ndani ya ccm kundi la mwendazake lipo na ni kundi hatari Sana.
Rais Samia Suluhu Hassan amuongezee ulinzi mheshima kikwete vinginevyo tukicheka na nyani tutavuna mabua

Mods uzi huu msiufute, unamaana na faida kwa taifa
Aongezewe ulinzi ili iweje? Tuko katika awamu ya 6 sasa, akae kwake Msoga huko akila ndezi kwa raha zake mwenyewe.
 
Nyerere aliwahi kusema atakayemuua ni mwendawazimu....nadhani hata akayetaka kumuua mkwere ni mwendawazimu.
 
Khaa! khaa! Kwani waislamu hawauzi unga?,au hawapaswi kuuza unga? Watu wanataka kula ugari, maandazi, mikate, n.k.inatokana na Unga sasa wasipouza tutaishije?
Najuwa umeelewa nilikuwa na maana gani ila ndiyo hivyo uliamua tu kuwa mjinga. Muulize Ridhiwani mwenyewe kwanini alikamatwa China na yale makontena ya unga huku akilitia taifa hasara?
 
hayo ni maoni yako, yana haki ya kusikilizwa. Mimi ninaishi nje ya nchi; ninajua kuwa kuwa ukisema Tanzania, unaulizwa majina mawili tu, ambapo la Kikwete halimo. Maoni ya contributing reporters wa magazeti fulani ni kitu kimoja, lakini maoni ya wasema ukweli ni kitu kingine kabisa.
Hata ukiishi chato sawa tu
 
Back
Top Bottom