Uzushi uliosambaa wiki hii kuhusu mh Jakaya Kikwete kuwa amekufa, ni kiashiria tosha kinachoonesha Kikwete yumo hatarini hatari ya kuuliwa.
Toka kifo Cha pombe, Kuna kundi lilijitokeza na kusema Kikwete anahusika.
Kama nakumbuka vizuri, wakati Lissu alipokwenda chaguliwa kuwa Rais wa TLS kule Arusha, palitokea uvumi kuwa Lissu amepigwa risasi huko Arusha.
Ikaelezwa kuwa Noah nyeusi ilisimama mbele ya jengo la mkutano alipotoka akapigwa.
Haikupita muda mrefu, Lissu akaanza kulalamika kufuatiliwa na watu kila aendako.
Haikupita muda akapigwa risasi huko dodoma.
Ifahamike kuwa ndani ya ccm kundi la mwendazake lipo na ni kundi hatari Sana.
Rais Samia Suluhu Hassan amuongezee ulinzi mheshima kikwete vinginevyo tukicheka na nyani tutavuna mabua
Mods uzi huu msiufute, unamaana na faida kwa taifa