Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu nayeSukuma gang wanapenda mambo ya kuuana kutesana na kuchukiana
CCM tuliwaambia uchafu mlioufanya 2020 hamtakaa salama bila kutubu na kuwaomba msamaha watz.
Bado unamuhitaji sio?Mungu ampe Afya njema na maisha marefu bado tunamhitaji.
ALIENDA KUTIBU TEZI DUME AMA ALIENDA KUMNYOOSHA RIHANNA NA KUFUKIZA UVUNDO WA ESCROW ILI MLISAHAU HILO?Yule alikuwa Waziri Mkuu wa awamu ya 5.
Rais mstaafu Kikwete hajawahi kuwa msiri wa afya yake. Kabla ya Kikwete kuugua na kwenda kutibiwa US, ulikuwa unaufahamu ugonjwa unaoitwa tezi dume? Kikwete hajawahi kuficha maradhi. Hata alipokuwa anaenda US kutibiwa na aliporudi, alilitaarifu taifa zima.
Wewe huyo ndo unasema hivi, Huko nyuma mbona umewahi kushadadia habari za mtu kuzushiwa kifo? Acha unafiki [emoji23][emoji23]Siyo poa kumzushia mtu kifo kwa kweli
Basi tusubiri.Yeye ni Mkuu wa Chuo!
haya sio ya hovyo kufa ni moja ya haki zetu issue ni kwamba tunakufaje?Naona wameanza tena! Tunamuomba Mungu apishilie mbali mambo ya hovyo kama haya.
Sikuizi tumeanza kupangiana kitu cha kucomment humu sio? Kibaya zaidi unanitusi, kama hukubaliani na hoja yangu kwanini usipite uchi?Kwanini unalazimisha taarifa iwe mbaya, acha roho ya kifa...la kima wewe
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Ukitaka kujua tayari au bado wewe pita kurasini polisi sa nne nne hivi, ukiona jamaa wanafanya mazoezi nyimbo za maombolezo ujue tayari.
Haziwezi kuwa za uongo, mpaka pale udhibitisho usio na shaka utakapotolewa.Chato gang members ndio wanaeneza propaganda hizo za uongo
Unateseka ukiwa wapi..?Sikuizi tumeanza kupangiana kitu cha kucomment humu sio? Kibaya zaidi unanitusi, kama hukubaliani na hoja yangu kwanini usipite uchi?
Kima ni mzazi wako wa kike, either awe hai au awe kuzimu yeye ni ki.ma wa ma..kima
Hawa makenge hawatoboi, walifikiri nchi ni ya kabila mojaChato gang members ndio wanaeneza propaganda hizo za uongo
Leta hiyo post tuoneWewe huyo ndo unasema hivi, Huko nyuma mbona umewahi kushadadia habari za mtu kuzushiwa kifo? Acha unafiki [emoji23][emoji23]
Yeah,inatosha wala sitaki kusikia habari kama hizo kamweDuh...!
Kauli ya mwanae inatosha iheshimiwe.
Kwa utawala wa kwendazake hata ingekuwa wewe ungediriki kunyanyua mdomo na kusema eti anaumwa?ili akitoka hospitali aje akuzodoe mbele ya kadamnasi?Hahaha mkuu mbona unakuwa mwepesi sana kusahau? Kumbuka ile kauli iliyotolewa msikitin kuwa "Chuma kipo ofisini kinachapa kazi", au ile ya "JPM yupo na anawasalimia sana" kama hiyo haitoshi, kuna ile kubwa kuliko "Ni kawaida mtu kukaguliwa kaguliwa".
Katika taarifa kama hizi,inapendeza zaidi mlengwa alijitokeza akasema.