Ridhwani: Jakaya Kikwete yupo salama wa afya nyingi, hana tatizo la kiafya

Ridhwani: Jakaya Kikwete yupo salama wa afya nyingi, hana tatizo la kiafya

Usinikumbushe mbali, majuzi tu Kasim Majaliwa aliulizwa JPM yuko wapi akasema kama uliyoyasema ya JK. Ilipofika tar 17.3.2021 yakawashinda wakatangaza kinyume chake. JK ana mdomo wa kuongea tunasibiri ajibu hoja mitandaoni sio kusemewa.
Kwani majaliwa alikua mwana familia wa Magufuli, kama sio kiherehere chake na kujipendekeza tu.
 
Usinikumbushe mbali, majuzi tu Kasim Majaliwa aliulizwa JPM yuko wapi akasema kama uliyoyasema ya JK. Ilipofika tar 17.3.2021 yakawashinda wakatangaza kinyume chake. JK ana mdomo wa kuongea tunasibiri ajibu hoja mitandaoni sio kusemewa.
Ha ha JK ana mdomo wa kuongea
 
Ridhwani Kikwete: Baada ya kupokea Simu na Jumbe mbalimbali nimeona nitumie nafasi hii kuweka kumbukizi sawa. Mzee wetu na Mzazi wetu Dr. @jmkikwete yupo salama wa Afya Nyingi sana. Hana tatizo lolote kiafya na anaendelea na majukumu yake. Taarifa za aina yeyote ni za Kipuuzi na za kupuuzwa.

Kwani kulikuwa na taarifa gani?
Hii taarifa ya R1 kwanza hakuna uhakika kama ni taarifa take kweli. Pili hii taarifa imeleta taharuki badala ya utulivu! Kikwete ni kipenzi cha wafanyakazi!! Japo walikuja kugundua hilo baadaye akiwa amemaliza awamu yake! Usiwape taharuki wafanyakazi!
 
Watu mitaani wanasema Mze alichanganikiwa baada ya kuvuta bangi majuzi baada ya chakula cha usiku. Walimuona anakimbizwa hospitali usiku huku akilia na kupiga kelele kuwa anasikia vitu vinamtembea kwenye ubongo.
Hawa ni watani wa mzee! Wanyamwezi hawa!!
 
Ridhwani Kikwete: Baada ya kupokea Simu na Jumbe mbalimbali nimeona nitumie nafasi hii kuweka kumbukizi sawa. Mzee wetu na Mzazi wetu Dr. @jmkikwete yupo salama wa Afya Nyingi sana. Hana tatizo lolote kiafya na anaendelea na majukumu yake. Taarifa za aina yeyote ni za Kipuuzi na za kupuuzwa.

Wafuasi wa Mwendazake wanapata tabu sana! Hawaamini kwamba jeshi lilishapiga mizinga yake 21 pale chato kwenye kile kibanda cha mabati. Imetoka hiyo, wazoee tu.
 
Kigogo anasemaje?
Alishamaliza kazi yake ya kutuhabarisha juu ya ile habari njema kwa nchi mwezi ule wa tatu na mizinga 21 ilishapigwa. Kwa hiyo Kigogo apumzike zake huko aliko. Tunasubiri habari za Ndugai
 
Kumbe na yeye alisikia kuwa Mze alipaliliwa na bangi majuzi mpaka wanazusha kuwa kalazwa na kachanganikiwa akili kwa ajili ya uvutaji bangi. Ila kumuamini Ridhiwani ni kazi pia maana jamaa anajiita muislam mzuri lakini ni muuza unga mzuri tu.
we unajtambua kweli?
 
Back
Top Bottom