Ridhwani: Jakaya Kikwete yupo salama wa afya nyingi, hana tatizo la kiafya

Ridhwani: Jakaya Kikwete yupo salama wa afya nyingi, hana tatizo la kiafya

Kwani mwenyewe JK anasemaje si ana account yake ya Twitter?
 
Yule alikuwa Waziri Mkuu wa awamu ya 5.

Rais mstaafu Kikwete hajawahi kuwa msiri wa afya yake. Kabla ya Kikwete kuugua na kwenda kutibiwa US, ulikuwa unaufahamu ugonjwa unaoitwa tezi dume? Kikwete hajawahi kuficha maradhi. Hata alipokuwa anaenda US kutibiwa na aliporudi, alilitaarifu taifa zima.
Kama yeye mwenyewe ndiye alihusika katika kulitaarifu Taifa juu ya kuugua kwake mpaka kupona, basi ajitokeze kujibu hata sasa.

Na kama hoja ni kwamba hakuna umuhimu wa yeye kujibu juu ya hili, hata dogo Ridhiwan angekaa kimya tu, maana naona kama yeye ndo kaja kuzua taharuki tu, watu hatukuwa na hizo taarifa kabisa.
 
Ridhwani Kikwete: Baada ya kupokea Simu na Jumbe mbalimbali nimeona nitumie nafasi hii kuweka kumbukizi sawa. Mzee wetu na Mzazi wetu Dr. @jmkikwete yupo salama wa Afya Nyingi sana. Hana tatizo lolote kiafya na anaendelea na majukumu yake. Taarifa za aina yeyote ni za Kipuuzi na za kupuuzwa.

Asanteni kwa taarifa hii; tena tunafahamu Mungu hana upendeleo !
Lakini wahenga wanasemaje ?
 
Ukweli mchungu[emoji23][emoji23][emoji23]
Lazima tuwaambie wajue, maana naona kama wako gizani na wamelemewa na ushabiki bila kuangalia uhalisia wa mambo. Hii kitu hata viongozi wao wanajua kabisa kuwa ni ngumu wao kutawala hii nchi, ndomaana Lila uchwao wamewekeza katika swala la kushare chakula na serikali(CCM) na sio kupigana nao.
 
Watu mitaani wanasema Mze alichanganikiwa baada ya kuvuta bangi majuzi baada ya chakula cha usiku. Walimuona anakimbizwa hospitali usiku huku akilia na kupiga kelele kuwa anasikia vitu vinamtembea kwenye ubongo.
Ajabu Sana hii, au wajukuu wa Mwanamalundi wameamua ku react!!
 
Kauli ya mh.Ridhiwani Kikwete INATOSHA KABISA.....

Mstaafu Rais Jakaya Kikwete ameshawahi kufanyiwa UPASUAJI NA JOPO LA MAPROFESA huko MAREKANI na wala hakuweka USIRI WOWOTE.....

#StaunchSupporterOfCCM
 
Watu mitaani wanasema Mze alichanganikiwa baada ya kuvuta bangi majuzi baada ya chakula cha usiku. Walimuona anakimbizwa hospitali usiku huku akilia na kupiga kelele kuwa anasikia vitu vinamtembea kwenye ubongo.
🤣🤣🤣🤣🤣 Ila Watanzania aliyeturoga jamani daa!
 
Ridhwani Kikwete: Baada ya kupokea Simu na Jumbe mbalimbali nimeona nitumie nafasi hii kuweka kumbukizi sawa. Mzee wetu na Mzazi wetu Dr. @jmkikwete yupo salama wa Afya Nyingi sana. Hana tatizo lolote kiafya na anaendelea na majukumu yake. Taarifa za aina yeyote ni za Kipuuzi na za kupuuzwa.

Mungu ampe Afya njema na maisha marefu bado tunamhitaji.
 
Yule alikuwa Waziri Mkuu wa awamu ya 5.

Rais mstaafu Kikwete hajawahi kuwa msiri wa afya yake. Kabla ya Kikwete kuugua na kwenda kutibiwa US, ulikuwa unaufahamu ugonjwa unaoitwa tezi dume? Kikwete hajawahi kuficha maradhi. Hata alipokuwa anaenda US kutibiwa na aliporudi, alilitaarifu taifa zima.
JK alikuwa muwazi sn
 
Back
Top Bottom