Ridhwani: Jakaya Kikwete yupo salama wa afya nyingi, hana tatizo la kiafya

Ridhwani: Jakaya Kikwete yupo salama wa afya nyingi, hana tatizo la kiafya

Tunamuombea Mzee wetu MPENDWA JK maisha marefu, nguvu na baraka tele.

Mhe. Kikwete ndio Hazina pekee iliyo baki kwa Taifa letu. hivyo tuna muombea sana Mungu azidi kumlinda.

wanao mzushia mabaya, tunawasamehe buree....kwani hawajui walitendalo.

Kikwete ni mtu wa watu asiye na makuu wala asiye penda kuficha ficha, ndio maaana alipo kuwa anaumwa kipindi kile akiwa Rais aliweka wazi kila kitu na alifafanua mpaka jinsi alivyo tibiwa. sasa uzushi wa nini jamani, timuombee mzee wetu heri zaidi.
 
Who cares!Huyu mzee ndiye alituletea yule Kayafa.Kama siyo rehema za Mungu hadi leo tungekuwa na yule dikteta uchwara!
 
Hawa wazee wetu waliokabidhiwa zawadi ya ndege tausi bila ya ridhaa zao wenyewe, wawe makini sana na utunzaji wake kwa kuwa nguvu za giza zimo ndani yake na zitaendelea kuwaandama. Wakamuulize Uhuru Kenyatta aliwahifadhi wapi alipopitia majaribu pia.
 
Kumbe na yeye alisikia kuwa Mze alipaliliwa na bangi majuzi mpaka wanazusha kuwa kalazwa na kachanganikiwa akili kwa ajili ya uvutaji bangi. Ila kumuamini Ridhiwani ni kazi pia maana jamaa anajiita muislam mzuri lakini ni muuza unga mzuri tu.
Aliwahi muzia unga mamako?
 
Kuna jamaa flan wafuasi wa jamaa wanaowatumikia majamaa flani wamefunga kabisa ili iwe kweli😂 nyumbu wa kigogo😂😂
 
Back
Top Bottom