Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
Duh....kana Biggie na Pac?
Alrighty then...
Over exaggeration kabisa lakini TZ ilivyo yoyote anaweza sema chochote
Over exaggeration kabisa lakini TZ ilivyo yoyote anaweza sema chochote
sawa bana mtoto wa rais utundu mulemule yani. nimefurahi ulipotamka et yule "bwana mkubwa"...
Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete ameponda Diamond na Ali Kiba kuwa na bifu akisema zinaweza kusababisha madhara makubwa akitolea mfano bifu ya Tupac na notorious big
Pia amesema mzee wake anapenda muziki lakini wa zamani ila wasanii wa bongo flava alikuwa akikutana nao kwa kuungabishiwa na yeye
Katoa mfano mkuu.....sio kila mfano anao toa mwl utatoka.kwenye mitihani wa mwishoAache kuwafananisha Big &Pac na vitu vya kipumbavu