Ridhwani Kikwete awaponda Diamond na Ali Kiba, awapa onyo

Ridhwani Kikwete awaponda Diamond na Ali Kiba, awapa onyo

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
1,817
Reaction score
4,061

Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete ameponda Diamond na Ali Kiba kuwa na bifu akisema zinaweza kusababisha madhara makubwa akitolea mfano bifu ya Tupac na notorious big

Pia amesema mzee wake anapenda muziki lakini wa zamani ila wasanii wa bongo flava alikuwa akikutana nao kwa kuungabishiwa na yeye
 
Hiyo title ni clickbait, sipendi sana title za kijinga hizi.
Ridhwani naona kaongea vizuri tu wala hajataja jina la mtu, na kasema katika broad terms ambazo zinagusa wasanii wengi sana sio Diamond na Alikiba peke yake.

Mleta mada na huyo aliyeweka title kwenye hiyo video mnapenda sana kukuza mambo, nyie ndio sababu leo hii unasikia wana bif hawa watu, mnawagombanisha sana. Isingekua timu za kijinga mitandaoni leo hii labda hawa watu wangekua wametoa track pamoja.
 
Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete ameponda Diamond na Ali Kiba kuwa na bifu akisema zinaweza kusababisha madhara makubwa akitolea mfano bifu ya Tupac na notorious big

Pia amesema mzee wake anapenda muziki lakini wa zamani ila wasanii wa bongo flava alikuwa akikutana nao kwa kuungabishiwa na yeye

sawa bana mtoto wa rais utundu mulemule yani. nimefurahi ulipotamka et yule "bwana mkubwa"...
 
Nigga that's dumb to have some aim at you to kill another man.
Suge ain't set Pac up. Puffy used Orlando Anderson and the crips for security when they came to LA and Puffy supposedly put the bounty on the Death Row Chain
that got snatched off Travon at Lakewood mall. That's why pac and them stomped him down at MGM before Orlando got his revenge. So yeah Puffy's fault that Pac is dead. And he got cocky and brought BIG to la so he's the reason biggie is dead too.
 
Compton na NYC vs Tandale na K'koo.

Ujinga wa hizo team za mchangani afananishe na beef serious ya West na East?

Muulizeni kama kamuona Ben Saanane maana nina shida nae simpati!
 
Back
Top Bottom