SI KWELI Rigathi Gachagua ameandika barua kujiudhuru wadhifa wake

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Senate tayari wanejifungia ndani wanaendelea na mijadala yao

Hiyo barua kama kuandika angeandika mapema kabla bunge kuanza vikao
Seneti liko mubashara Citizen TV tangu saa 4 hadi sasa bwashee πŸ˜‚πŸ˜„πŸ˜„
 
Je, Katiba yao ndio inasema hivyo?
Ndio kwa kanuni za bunge Mchakato ukianza umeanza na lazima ufike mwisho

Hata hapa kwetu ilishatokea Mbunge akawasilisha hoja kuwa bunge limjadili waziri mkuu Lowasa kuhusiana na Richmond

Lowasa kusikia tu akaona njia bora ni kujiuzulu kabla bunge kukaa kumjadili

Gachagua kachelewa
 
Kwahyo kaamua kumpa ukweli kwamba 2027 ni jino kwa jino. Akumbuke anayemwambia na kumkandia ndo kashika mpini.
Kenya sio Tanzania huyu anasupoti ya kabila kubwa na vikabila vidogo vidogo, Ruto hawezi kumfanya chochote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…