Kabisa! Aache kujichekesha kwenye futari.Walipe watu mishahara waache usanii.
Piga gachagua chini[emoji2][emoji2][emoji2]
Ni kama alikuwa haamini amefikaje pale.Na anaonesha alikuwa ana chuki na familia ya Kenyatta/matajiri/watu wenye madaraka kabla ya kuyapata aliyonayo sasa.Na yeye ajiandae kupata maadui.Watu sampuli yake hawafai.Wamejaza nafsi zao visasi,visirani na mihemko.Yaani ukifuatilia hotuba zake utajua tu kenya wamepatwa kwanza alimtukana Rais Mstaafu siku ile ile wanaapishwa mbele ya wageni wa kitaifa na kimataifa
mutu ya cerelac [emoji23]Wakuu,
Leo ikulu ya Kenya imeandaa iftar sasa kama kawaida hotuba za viongozi, Riggy G baada ya salamu kasema kwanza amefurahi kufika kwenye sherehe ile, yaani iftar kwake ni sherehe tayari.
Ukisikia anasema hii mzee ya maandamano ujue anamsema Raila.
Ukisikia anasema hii mutu ya cerelac ujue anamsema uhuru kua ni muoga kalelewa na vyakula vya kizungu tu.
Ngoja niendelee kuandika vituko vyake kila nikipata nafasi.
Ni kama alikuwa haamini amefikaje pale.Na anaonesha alikuwa ana chuki na familia ya Kenyatta/matajiri/watu wenye madaraka kabla ya kuyapata aliyonayo sasa.Na yeye ajiandae kupata maadui.Watu sampuli yake hawafai.Wamejaza nafsi zao visasi,visirani na mihemko.
Mtu mzima,siku ya kwanza madarakani akaanza kumu-attack mstaafu.Hiyo ni hekima kweli?Mwenzie kakulia ikulu kutokana na jasho la baba yake.Angekataa maisha ya ikulu?Kama yeye alichoka kula ugali wa mtama au githeri kwa sukuma ni matokeo ya maandalizi ya wazazi wake.Asione umasikini wake kama credit kwa wapiga kura.Bure yule Gachagua.Kenyatta family ni wakikuyu lakini watoto wa mjini, ujue kwa sasa ilipo ikulu ya kenya jirani yaani wanapeana fence tu ndio nyumbani kwa kenyatta , halafu Riggy G sio kiongozi mzuri sana kama wengi walivodhani,
mutu ya cerelac [emoji23]
Hana lolote huyo.Mbona yeye na bosi wake Ruto,at last,wamekubali matakwa ya Muzee na kuomba pooh maandamano yasitishwe.Ujicheleweshe au uitike matakwa ya mkinzani mapema,mambo ni yaleyale tu.Halafu,asijisahaulishe.Wafanyakazi wanadai mishahara yao.View attachment 2584737
View attachment 2584742
Anakueleza Uhuru ni muogamuoga alitishiwa na Muzee ya maandamano akakubali sababu kakuzwa na hayo madude ya wazungu,
Mtu mzima,siku ya kwanza madarakani akaanza kumu-attack mstaafu.Hiyo ni hekima kweli?Mwenzie kakulia ikulu kutokana na jasho la baba yake.Angekataa maisha ya ikulu?Kama yeye alichoka kula ugali wa mtama au githeri kwa sukuma ni matokeo ya maandalizi ya wazazi wake.Asione umasikini wake kama credit kwa wapiga kura.Bure yule Gachagua.
Sasa picha kama hizo huyo Gachagua ndiyo zilikuwa zinampa hallucinations maishani.View attachment 2584746
Hapo ni Rais Kenyatta senior, amekaa pembeni na dogo uhuru, halafu aliyeinama ni kibaki huyo aliesiamama kwa kunyooka ni mzee moi a.k.a nyayo, baadae Moi akawa Rais hapo baada ya jommo kenyatta, halafu Kibaki akaja akawa Rais, baadae yule dogo aliekaa na Baba yake hapo nae kawa Rais kwahiyo hiyo picha ilitabiri marais wanne wa kenya,
Siasa za Kenya ngumu sana
Na hapo ndipo waliopo madarakani wanapaswa kuwa makini.Watachezewa akili kwa kutengenezewa changamoto kwa mikono yao wenyewe.Uongozi wa kenya wa sasa unachukuliwa kama uongozi wa watu washamba, watu wa porini, sasa watoto wa mjini akina Raila na uhuru wanawachezesha wanavotaka yaani wakiamka leo wakijisikia ni maandamano basi wanakiwasha tu,