HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Ila Ruto atatawala kwa shida sana na Kenya itayumba sana kiuchumiNi ngumu kupita kiasi, sema Ruto alichosafanyia akina Uhuru hawakuamini walikuja kustuka dakika za mwisho, Chebukati ni shemeji wa wetangula ambae ni spika wa bunge la kitaifa, halafu CJ koome na mke wa Ruto wanaundugu hivi kwahiyo mambo yakaharibika hapo, umafia waliofanyiwa pamoja na kua walikua na dola hawakuamini